Top Gun JF-Expert Member Joined Dec 11, 2024 Posts 257 Reaction score 860 Jun 16, 2025 #1 Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na matako manene kupelekea kufanya ya ajabu ajabu.
shatisuruali JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 966 Reaction score 3,050 Jun 16, 2025 #2 Tufanyaje kuepuka kikombe hiki?
Kidimilo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2017 Posts 201 Reaction score 397 Jun 16, 2025 #3 Tulizoea hii ilikuwa michezo ya ma jobless saizI ni wote hivyo hatuna msaada nao🤣🤣
Deinstein 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 2,090 Reaction score 3,928 Jun 16, 2025 #4 Vijana kama hao hawatumii akili wanatumia hisia zaidi kwenye mapenzi.
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 3,349 Reaction score 6,423 Jun 16, 2025 #5 shatisuruali said: Tufanyaje kuepuka kikombe hiki? Click to expand... Akikujib ni Tag mkuu😁
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Jun 16, 2025 #6 Wanawake wanaonewa wivu wazi wazi.....