Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira)
Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza kuwajenga na kuwapa fikra ya kuamini uwezo wao binafsi matokeo yake wakimaliza elimu wakija mtaani wanaimani kubwa ya kupata ajira matokeo yake wanadondokea pua sababu mifimo ya elimu inanajenga iamani kusama sana au ufaulu mzuri bas unapata kazi serikalini au katika sector binafsi huu mfumo wa imani moja ambao inatumika kutoa elimu mfumo (mama).
Unafanya vijana wengi wanasoma kwa bidii na gharama kubwa kuitafuta elimu ya juu zaidi. wakiamini kuwa na elimu kubwa basi ni kupata ajira nzuri na mshajara mkubwa ni kweli elimu inasaidia lakini ukija mtaani elimu inatumika kwa mtu mwenye bahati sio kila mtu anaweza kuvuna kama alivyo tegemea mimi naona mifumo ya kuwajenga vijana ni muhimu sana huko mashuleni ili wakitoka wafahamu vitu viwili vikuu;
(1) Kujitegemea
(2) Kuajiriwa
Hii itasaidia kupunguza idadi ya wahanga wa madawa na vifo vya misongo ya mawazo kwa vijana wetu.

Upvote
0