Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
Mkuu unataka kusema ki uhalisia sio kweli? mimi naona ni kweli na huu ukweli nikwasababu dokta ana hela ila tofauti na hapo huu upendo usingekuwepo ila kwasasa naamini na ninakubali hawa viumbe wanapendana.Maisha ya mitandaoni hayo.. duniani majarbu yapo tu.
Na kuwa na wanawake wengi ni kujichosha tu, mmoja mwenyewe shughuli, wakiwa wengi inakuaje.?
ila kama lifestyle yake ni nzuri sio vibaya kuigaKuiga lifestyle ya mtu ni ujinga
threesome ndio nini eti?Hivi hii inatofauti gani na Threesome??
#Bagwell
Inaonekana sio muumini wa vitu vya jujubes[emoji23][emoji23][emoji23]threesome ndio nini eti?
Sikatai hela anazo, wake zake bado wanaonesha wanampenda.Mkuu unataka kusema ki uhalisia sio kweli? mimi naona ni kweli na huu ukweli nikwasababu dokta ana hela ila tofauti na hapo huu upendo usingekuwepo ila kwasasa naamini na ninakubali hawa viumbe wanapendana.
inavyoonyesha tuWamekutana pipa na mfuniko.
jujubes ndio nini tena?Inaonekana sio muumini wa vitu vya jujubes[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu suleimani wetuMfalme suleman alikuwa na zaid ya wanawake alionao.lakin mwishon alisema ni ubatiri mtupu...
Its something useless...
navuta picha tu akiwa kalala nao wote kitandani,ila tukiweka masihara pembeni kuna watu wanafaidi nyieHalafu wakeze warembo
Hajafikia level hizo mkuu,huyu ni mchafu koga tu fulan,,ukichek hata akaunt yake pesa ya kawaida sana aliyonayo...akiyumbishwa kidgo tu kwisha...huyu suleimani wetu
hapo unamaanisha nini sasaMbona tunashawishiana kuoa mke mmoja?
Kwa Nini kuoa wengi tukatazane?
Uoga wa maisha na kujikuta unatekeleza matakwa ya wanawake ndio kumewafanya wanaume wanaishi maisha ya shida Sana.
Mwingine unakuta anapewa sex Mara moja kwa mwezi naye anajiona ameoa.
Eti "tunalea watoto"
Watoto wenyewe kachomekewa wa2 Kati ya wa3
Sent using Jamii Forums mobile app