Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

Nawajua wanawake waislam wameshika dini haswaa ila habari ya uke wenza kwao hawataki hata kuisikia.

Mimi siwezi hilo kamwe
Suala lililopo Ni wivu tu.
Huwa mnataka kumiliki kila kitu wenyewe.
Yaani unaimagine hii ninayopewa mimi akiwepo mwingine si itapungua?
Hakuna Upendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanadamu huwa wanataka kila mtu aishi kwa kile alichokielewa yeye.
Lazima kuwe na mchanganyiko.
Hata kwenye dini Kuna walokole, waumini wa kawaida na wapagani.
Sasa mpagani akiishi Kama mlokole diversity itatokea wapi?
Wengine wanasema hawawezi kuolewa kuwa wake wenza Ila wamezaa na waume za watu.
Na wanaume wanasema hawawezi kuoa wake wawili lakini wamezalisha mabinti kibao mtaani!!
Hao si wake zako? Unataka waolewe na nani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana binadamu amepewa utashi. Kumlinganisha binadamu na mbuzi au kuku si sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tukibakia hapo hapo kwenye utashi, kwanini unafundishwa namna ya kuishi.?

Kabla ya ‘usasa’ wenu mababu zetu waliishi kwa raha sana, bila shule na vitisho vya dini walioa wake kwa kadri ya uwezo wao na hukusikia habari za upungufu wa ‘ngufu’.... usasa umekufundisha kuwa unastahili mke mmoja na sasa tazama ndoa zimekuwa mwiba kwa walio wengi.

Simwelewi mwanamme anayelaumu kuoa wake wengi, labda yule aliyetawaliwa na ‘ukike’ na kuishi kutimiza matakwa ya wanawake.... kama unathamini utashi basi rudia asili na uishi kwa kutumia akili yako sio sheria na miongozo ya kutungwa.
 

Umenena vema kwa kujisemea nafsi yako unavyojijua, vivyo hivyo mwenye uwezo na awaoe tu hawa wake wengi na isiwe nongwa kwa wengine.... maisha yalipaswa kuwa hivi.
 
Ndio maana kuna jamaa mmoj humu alisema kwao wao (huyo jamaa) Waislam mwanamke ni chombo cha starehe na si vinginevyo.
 
wanawake wote waliowahi kutembea na waume za watu uke wenza wanauweza.
anaeumia kwenye uke wenza ni mke mkubwa.
Kama mimi sio mke mkubwa ai hata mi naweza mana najua kabisa naenda mahala mtu ana mke wivu utanitoka wapi.
 
Lakini hawa si waislamu, wanaruhusiwa, sioni geni hapa! Hivi hawa ni kabila gai, maana mengine yanaendana na tamaduni!
 
Maisha ya mitandaoni hayo.. duniani majarbu yapo tu.
Na kuwa na wanawake wengi ni kujichosha tu, mmoja mwenyewe shughuli, wakiwa wengi inakuaje.?
Wakiwa wengi
Mwaka mmoja hauishi lazima uwe mwendawazimu
 
Sasa ncha kali wew jikute roboot kuwa utawapenda wote kwa usawa.
 
Sasa ncha kali wew jikute roboot kuwa utawapenda wote kwa usawa.

[emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna usawa dunia hii, hata sehemu za mwili wako hauzipendi kwa usawa.... hata wewe kiujumla hujipendi kwa usawa kuna siku unajinyima na zipo siku unajipendelea.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna usawa dunia hii, hata sehemu za mwili wako hauzipendi kwa usawa.... hata wewe kiujumla hujipendi kwa usawa kuna siku unajinyima na zipo siku unajipendelea.
Acha siasa.

Wew jiandae kwa adhabu zitokanazo na manung'uniko ya mke asiye pendwa zaidi.

Nikupe mfano wa adhabu utakazo pewa?
 
Kiwango cha unafiki walicho nacho wake wa mwaka ni cha hali ya juu sana! Kama unafiki ule ni vyuma basi vyuma hivyo ni vya kujengea reli (SGR)
 
Acha siasa.

Wew jiandae kwa adhabu zitokanazo na manung'uniko ya mke asiye pendwa zaidi.

Nikupe mfano wa adhabu utakazo pewa?

Achana na adhabu za kusadikika, hakuna maisha baada ya haya... mfano wako utategemea na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…