Yani adhabu yenyewe sio sehemu nyingine ni hapa hapa duniani.Achana na adhabu za kusadikika, hakuna maisha baada ya haya... mfano wako utategemea na imani.
Yani adhabu yenyewe sio sehemu nyingine ni hapa hapa duniani.
Usipende kutenda lile ambalo wew mwenyewe hutotaka ufanyiwe.
Wew una uwezo wa kupenda wake wengi kwa usawa?Nachelea kusema kuwa mfano wa adhabu hauhusiani na hoja yangu, mimi nipo kwenye kuoa wake wengi kwa ‘kadri ya uwezo’.... ni lipi kosa hapo hata nisipende kutendewa..?
Wew una uwezo wa kupenda wake wengi kwa usawa?
Mi siwez hayo mambo yaan ukileta takataka nyumbani nifungie chumbani na kufuli nna roho mbaya sana kwa habari ya kushea dudu.
Yeah.
Tukisema serikal ipime DNA daaadek utakuta mitoto yote Sio yako aiseee alafu wako 5 ndio utajua maharage Ni mboga au soup ya kushishia kwa chapati za mama. AminaMbona tunashawishiana kuoa mke mmoja?
Kwa Nini kuoa wengi tukatazane?
Uoga wa maisha na kujikuta unatekeleza matakwa ya wanawake ndio kumewafanya wanaume wanaishi maisha ya shida Sana.
Mwingine unakuta anapewa sex Mara moja kwa mwezi naye anajiona ameoa.
Eti "tunalea watoto"
Watoto wenyewe kachomekewa wa2 Kati ya wa3
Sent using Jamii Forums mobile app
kilicho akilini kitumie