Vijana wenzangu tusimuige Dokta Mwaka tutakuja kusababisha mauaji ya Kimbari

Dr Mwaka acha kuiba wake za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Isaya 4:1

(Biblia imetabiri lazima yatimie)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ukweli:
Nilipenda sana wasichana warembo
Lakini mwisho wa siku nikagundua kiwa hakuna tofauti ya mrembo na wa sura ya kawaida.
Ukiwa na mwanamke kwa muda flani utamwona wa kawaida na mwishowe inatamani utembee na mwingine.
Mwisho wa siku nimegundua ni UBATILI na kunilisha upepo.
Bora kuridhika na uliye naye.
Hapo Mwaka huenda anamchepuko mwingine
Mfalme suleman alikuwa na zaid ya wanawake alionao.lakin mwishon alisema ni ubatiri mtupu...
Its something useless...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mpaka uwe nayo hiyo akili.
Ndio ujiulize wew una akil kias gani wakat Kuna kipind unacheka na kuongea mwenyewe [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

kilicho akilini kitumie
 
Ndio ujiulize wew una akil kias gani wakat Kuna kipind unacheka na kuongea mwenyewe [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

kilicho akilini kitumie

Ni hadi uwe nayo hiyo akili.

Kuna muda unaweza kujisemea kuwa akili imechoka, kumbe akili yenyewe huna. [emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️
 
Ni hadi uwe nayo hiyo akili.

Kuna muda unaweza kujisemea kuwa akili imechoka, kumbe akili yenyewe huna. [emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603][emoji1493]‍[emoji3603]
Ndio maaana ikasemwa kilicho akilin kitumie Mana vya kufunzwa havutumiki siku hizi

kilicho akilini kitumie
 
Maisha ya mitandaoni hayo.. duniani majarbu yapo tu.
Na kuwa na wanawake wengi ni kujichosha tu, mmoja mwenyewe shughuli, wakiwa wengi inakuaje.?
Hii kauli ungeiongea mwaka 1960 ungepigwa mshale.

Mtu kama mim hapa nimezaliwa kwa mke wa pili

Nina wadogo zangu wengine wamezaliwa kwa mke wa nne

We are all happily living

Life style ya miaka kuanzia 2005 imepunguza nguvu nyingi sana za vijana kumudu polygamies achilia mbali single wife families.

I am with Dr Year.

So far, wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Lets get them buddies. 3 each

Hata mbinguni huko tunapewa ke 72 kila me mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mfumo tunaojifanya kuuona mzuri unatutesa Sana wanaume lakini tunajifanya ndio Bora.
Mtu anakaa kufichama vichochoroni kisa anaogopa watu watajua.
Unakutana na mtu mtaani anakupita kama hakufahamu. Kumbe anaogopa utajua alikuwa kuchepuka.
Na dini tulizoletewa na wakoloni zimetufanya kuogopa visivyokuwepo wakati wao wenyewe walishaachana na hizi taratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hawezi kuelewa ameoshwa ubongo, anadhani ni mwenye huruma kumbe ndo anawatesa hawa viumbe.... ngoja nimrejeshe kwenye maandiko huenda akili zikamrudi huyu Suriya.

Isaya 4:
1. Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Sawa ustaadh zurri .

Nitapitia hapo kwako kula bagia na visheti vya mkeo mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ncha Kali usiufanye huu uzi uwe wa kidini. Wew biblia umeijulia wapi,? hekima ya biblia huwezi kunizidi.
 
Mwanafalsafa Mshana Jr kashamaliza mdahalo huku mm nafunga uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumiliki wake 3 si na afya uwe nayo, sasa mke mmoja kila siku kelele huna pumzi hao 3 unawapa nini? Ndiyo kila siku mara alikasusu mara sijui nini! Unakuta mtu analalamika mke wangu ana mdomo kumbe hamridhishi anakimbilia nje huko hata akitupia goli kama la jogoo sawa si analipia tu hakuna lawama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…