Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Vijana muoe,hata dini zinasema kuoa ni neema na kutimiza neno la Mungu.angalizo; kila mtu aoe kwa risk zake mwenyewe,na naomba mtu asinishauri kuoa Mimi,tutagombana.
 
Ni kweli ndoa ni kitulizo .vijana acheni kuhangaika kununua malaya mtakufa na ukimwi.kijana chagua mke unae mpenda oa ishi nae bila stress.ndoa ni cheap uzinifu ni ghali mno.kwanza wazinifu wanakufa mapema kwa msongo wa mawazo na kutokujali afya zao.
Umenena ukwel vijana waoe waache kuogopa ndoa ina raha yake sana
 
Inshallah kama [mention]Kelsea [/mention] akikubali[emoji7][emoji177][emoji3590][emoji177]
 
nakazia hapa (ndoa tamu)

ila ni kama kila mmoja atasimama kwenye mstari wake

bwashee chunga sana mkeo asijue michepuko yako mana ndo chanzo cha ndoa kuwa chungu
 
nakazia hapa (ndoa tamu)

ila ni kama kila mmoja atasimama kwenye mstari wake

bwashee chunga sana mkeo asijue michepuko yako mana ndo chanzo cha ndoa kuwa chungu
Hivi Unajua Kuna Mtu Anapitia Matatizo Ya Kimahusiano Na Mpenzi Wako...???[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ukishaanza kuchapiwa uje na uzi pia[emoji12]
 
Huo ni mwanzo tu naomba utunze huu uzi wako baadae uje utupe mrejesho vizuri kuhusiana na ndoa yako.
 
Vijana muoe,hata dini zinasema kuoa ni neema na kutimiza neno la Mungu.angalizo; kila mtu aoe kwa risk zake mwenyewe,na naomba mtu asinishauri kuoa Mimi,tutagombana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]Mkuu fanya uoe,umri unaenda
 
Ukioa unakua mtumwa wa familia kwaiyo Kuna maamuzi hutoyafanya binasfi ..

Ndoa tamu ila inazeesha haraka .. usiku hulali unaamshwa ule mbususu ata Kama huna mood kesho yake unaanza kusinzia kwenye dala dala , kazini ,kwenye mikutano ,nk ..

Ukioa Kama ulikua na ndugu 20 ghafla wataongezeka nakua 40 . . Sim za shida zitaongezeka .. utaanza kutumia akili yako kwa 100.10% ukizaa kiwango kinapanda unaanza kuwaza zaidi kwakutumia akili mara 2 yake ..

NB: ndoa ni tamu .
 
Mke ulieoa kabila gani huyo ambaye analazmisha umle mbunye😂
 
😆😆 HAHAHAHH!
 
Mke ulieoa kabila gani huyo ambaye analazmisha umle mbunye[emoji23]
Mimi wa hivi ndo tunaendana, muda wote ni mboo tu...iwe jikoni,sebuleni, chumbani,uani sio mchana, asubuhi,jioni wala usiku ...ni mboo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…