Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Unajua haya mambo ya Jeshi sijui inakuaje kama mtu ukifiwa. Juzi tumepata msiba wa Vijana wetu zaidi ya kumi walikuwa kwenye Mazoezi. Leo ndo tunaaga hapa Lugalo Dar, kwa anayetaka kushiriki mazishi aje.

Naamini Jeshi litatolea ufafanuzi taarifa hii ili kuondoa sintofahamu.

Baada ya hapa tunaenda Muguani.
Sasa wewe unatoa taarifa au unalaumu?, subiri watu husika waseme chanzo ni nini sio unaandika kwa mihemko yako ndugu

RIP makamanda mlitumika vyema
 
Habari za vifo zimeanza sasa. Ndani ya wiki 1 roho zaidi ya 50 zimepotea. Mungu atuepushie mabalaa!
 
Mungu hawape nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu

Wangekuwa walinda taifa siku za usoni
 
Back
Top Bottom