toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Mzee yupo wavuni hadi leo, mwingine katoka kama miez saba imepita tena hadi simu alinipigia me hata jela nlikuwa sitokei kuwaona nliogopa wasije wakaropoka kuwa computer nyingine ilikuwa yangu, alafu sasa chakushangaza huyu alotoka juz ni kaishia form 4 kasoma kozi zake onlineDaah asee imeniuma sana ila ndo hivyo tena ni kifungo cha maisha au?.
M300 sio poa
Yaaaah, ila ubaya wa haya mavitu ukienda deep sana unaishahau jamii yanakutakabmuda wote uwe na komputer, yan kama unataka kuhack account ya mtu yan unatakiwa akiwa online muda wote uwe unasnitch anafanya nini ikitokea loophole unamnyangaya credentials unasepa sasa hapo mambo ya kusocialize na watu yanakuwa magumuUko right ila ni more secure kuliko distro nyingine....kumbuka tails inafanya kazi kwenye usb.....
Yeah man…Eeh asee hapo ni kweli yaani user interface yake ni tamu sana yaani ni rahisi kuijua hata tutorial youtube wanaelezea vizuri hata display yake inakuvutia uijue zaidi.
Na kama ulivyosema inatumia ram ndogo. 👏
Huyu yeye alifyatua kadi zinazofanana na kadi za kweli za domant account za watu akawa anafyatua hela kwenye cashpoint na ATM, wasingemdaka mapema ila alikosea alidokoe hela za wakubwa, vijana wamepagawa sana man, ukimwona huwez amini ni form 4 leaver manDuuh aisee hongera zao kwa udhubutu wangekuwa mambele wangeshapewa ajira chap hao. Sema bongo nyoso sasa
Huyi aliyekaa miezi 7 na yy alidukua hela sio?
Ye alibeba hela kwa hawa wakuu hawa Ndio kosa si unajua mabosi huwa wana account zao hawazigusi labda miaka mi3 sababu wanamaacount mengi tu wanatoa hela hapo ndio alipokoseaOhh kumbe shida yake ni alidokoa nyingi kwa mkupuo. Ila angekula kidogo kidogo asingedakwa sio?
Kuna kipindi nilivutiwa na credit card fraud na nilikuwa na kila resource ya kubaki anonymous at that time being.....niseme tuu ni kwmba sikuwa na nia ya kuwa scammer....kuna forum ilikuwa inaitwa dread ni ya dark web waliifunga, changamoto ndogo kama hizi zilikuwa na suluhisho ya namna ya kutoka ukiwa salama.....wahimize tuu vijanq kabla ya kurisk maisha yao watafute kwanza knowledge.....kama ross ullbricht na silk road yake alisumbuana na fbi miaka na miaka bila kumsahau desnake na alphabay yake mpaka leo anapeta ndio sembuse ukiwa bongo.....trust me kila jambo linawezekanaYaaaah, ila ubaya wa haya mavitu ukienda deep sana unaishahau jamii yanakutakabmuda wote uwe na komputer, yan kama unataka kuhack account ya mtu yan unatakiwa akiwa online muda wote uwe unasnitch anafanya nini ikitokea loophole unamnyangaya credentials unasepa sasa hapo mambo ya kusocialize na watu yanakuwa magumu
Kweli kabisa ndio mana nlisema tena bongo kuna loopholes nyingi sana kwenye masystem yao, kuna jamaa nliwah kupiga nae kazi aisee nae akaanza michezo hiyo nusu na mimi niende wavuni wazazi wakasikia maza alipiga kelele nakuniusia, ikabid nijitoe, bongo kuna loophole nyingi sana ukiwaelekeza hawa madogo kwa jinsi walivyopagawa wanajirusha moja kwa moja bila kujali nini wala nini , ila hii ya credit card fraud kuna kipindi wagen walikuwa wanapigwa sana mpaka wamekuja kustuka, vijana wanaojilipua wapo sema tu hizi mambo hazisikiki sanaKuna kipindi nilivutiwa na credit card fraud na nilikuwa na kila resource ya kubaki anonymous at that time being.....niseme tuu ni kwmba sikuwa na nia ya kuwa scammer....kuna forum ilikuwa inaitwa dread ni ya dark web waliifunga, changamoto ndogo kama hizi zilikuwa na suluhisho ya namna ya kutoka ukiwa salama.....wahimize tuu vijanq kabla ya kurisk maisha yao watafute kwanza knowledge.....kama ross ullbricht na silk road yake alisumbuana na fbi miaka na miaka bila kumsahau desnake na alphabay yake mpaka leo anapeta ndio sembuse ukiwa bongo.....trust me kila jambo linawezekana
Pia opera inaficha ip address yako.Ukisema utumie tor browser mkuu? Ip address inafichwa
Tz coding hailipi your wasting your time,Kama ni mtu wa kusoma hadithi mtandaoni na kuangalia video za tikitok basi unaweza kuwalaumu hawa vijana.
- Kama ushawahi kufanya issue za ku-make money online utaona ilivyokuwa ngumu kwa developer na kuamua kukaa kimya tu na kufanya mambo mengine.
Kuna jamaa ametengeneza tool ya kuunlock simu ila mpk namhurumia, inatia hasira na inakera.
Tanzania ni nchi ngumu sana ya kuishi ila kwasababu watu hawajui IT wanabaki kutoa lawama kwa maIT ila hawajui kinachowasumbua mpk wakakaa kimya.
Mimi mwenyewe nateseka sana linapokuja kwenye issue ya malipo.
Paypal ni tatizo
Tz coding hailipi your wasting your time,
Administration za system ndio zinalipa like network administrator,database administrator system administrator and policy making/change kumbuka hatuna utamaduni wa innovation so expect nothing