Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kama ni mtu wa kusoma hadithi mtandaoni na kuangalia video za tikitok basi unaweza kuwalaumu hawa vijana.Yes ipo wana wireless controllers and they distribute across campus and few classes.
I think shida wengi wanawaza games muda mwingi and not developing themselves
- Kama ushawahi kufanya issue za ku-make money online utaona ilivyokuwa ngumu kwa developer na kuamua kukaa kimya tu na kufanya mambo mengine.
Kuna jamaa ametengeneza tool ya kuunlock simu ila mpk namhurumia, inatia hasira na inakera.
Tanzania ni nchi ngumu sana ya kuishi ila kwasababu watu hawajui IT wanabaki kutoa lawama kwa maIT ila hawajui kinachowasumbua mpk wakakaa kimya.
Mimi mwenyewe nateseka sana linapokuja kwenye issue ya malipo.
Paypal ni tatizo