kibongo bongo kozi za kompyuta tushazoea kuziita kozi za IT ikiwemo computer science , computer engineering, IT, n.k.
Maisha ya sasa teknolojia ipo mbali sana na tunatembea, smartphones, internet, apps, n.k. zimekuwa sehemu ya maisha yetu
Hapa bongo pametulia mno utadhani hatuna wanafunzi wa hizi kozi, hakuna pirika pirika.
Pirika pirika hizi ni
mwanafunzi wa chuo flan katengeneza app hasa inayoendana na mazingira yetu
Mwanafunzi flani kafikia hata robo fainali ya mashindano ya IT kimataifa.
Wanafunzi wa chuo flani wanapiga pesa kwenye internet
migomo ya mtandaoni, mfano vifurushi vilipopanda bei tovuti mojawapo ingetunguliwa, ukiingia unakutana na bango likilaani vifurushi kupanda bei inaathiri kusomea mtandaoni.
Hatusikii hata wanafunzi watukutu wametungua system ya chuo wameiba mitihani ama kubadili marks
Kimya sanaaa, kumepoa mnoooo