Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

wifi whatsapp unaingia kwa shida🚮🚮

umefika must wewe
Tatizo hapo Must wanadownload sana speed inakuwa ndogo,

Ila kwakweli wifi ni Tatizo, nimezoea zaidi kwenda Mzumbe ila huwa nasubiria kwenda mwezi wa saba mwishoni hadi wa tisa huwa hakuna wanafunzi speed kubwa mno hado Mb 15 kwa sekunde.

huwa napaki gari nateleza tu, hata hapo Must kipindi kukiwa hakuna wanafunzi net inakuwa fresh, mziki wanafunzi wakirudi sasa
 
Wana roho mbaya tu. Kwa dunia ya sasa hakuna chuo kitapangiwa data kwenye budget yake.


Mijitu inayoongoza vyuo ni mijinga. Ndiyo mimi husema siku hizi Watanzania ni "uneducated fools from uneducated schools".
Just,imagine group discussion ya not less than 10 scholars wanategemea simu ya mtu mmja au wawl group zima,ndio mwenye data naye less than 1GB hapo kafanya data restrictions ya kila kitu ili wapate data za Ku Google studying materials! It's a shame.
 
Just,imagine group discussion ya not less than 10 scholars wanategemea simu ya MTU mmja au wawl group zima,ndio kwenye data naye less than 1GB hapo kafanya data restrictions ya kila kitu ili wapate data za Ku Google studying materials! It's a shame.
Ni ujinga kutokuwapa free Wi-Fi zones vyuo vikuu miaka hii ya AI.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Ni kwaajil ya masomo,unaweza Soma kozi unayotaka online nchi yoyote iliyoruhusiwa,Sasa wewe unatafuta malay.a wa buguruni au kina baa🤔hapo kwa bando la chuo,hapana🤣🤣wamechuja hizo content 🙏
Umeelewa nilochoandika aua umekuja na option zako.
Nilochoandika hakina option kinasimama Km kilivyo swala kufilter weka kushoto.
Nilimtembelea Lec. Lotti Champuku ( reverse Eng pale Dit) ndipo niliwakuta madogo wanalalama mzigo unasoma connected ila zero data upload / Download.

Sasa hao Malaya sijui unao kichwani au we mwenzao
 
Ni ujinga kutokuwapa free Wi-Fi zones vyuo vikuu miaka hii ya AI.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
At least,serikali itoe ofa ya GB kadhaa kila mwezi kwa mwanafunzi wa chuo kama ruzuku atakayenunua kifurushi cha bei kadhaa hata ikiwezekana bure kabisa 10GB kwa laini moja ya kila mwanachuo kila mwezi
 
At least,serikali itoe ofa ya GB kadhaa kila mwezi kwa mwanafunzi wa chuo kama ruzuku atakayenunua kifurushi cha bei kadhaa hata ikiwezekana bure kabisa 10GB kwa laini moja ya kila mwanachuo kila mwezi
Hakuna cha offa ..
Mntakiwa mpate unlimited WiFi..
Ili mtu afanye ubunifu WA kila Aina..
 
Mtu ana maarifa ya IT anaogopa kudakwa vp sasa, hapo sanasana ni mweupe tu

Una hoja dhaifu sana. Hiyo ni risk kwake, wabongo ukipata matatizo wanakuachia dudu lako kama vile hawakuwa na ww

Dont underestimate serikali, systembis on their side.
Movie za hollywood zisikudanganye life is not like that
 
Wanaweza kuweka antivirus kwenye computer zetu na kuuza nyimbo Kwa flash na kudownloqd movie
 
Back
Top Bottom