Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

Ntajie vyuo vyenye free WiFi
Nna ndugu wanasoma Mwl Nyerere wanasema hakuna free WiFi na vyuo vingine pia same
Nipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password.

Ila sasa kuna maeneo yake kama library, jengo la administration au baadhi ya venues. inabidi uwe unajuana na wanafunzi kujua hizi spots.

mimi hizi wifi ku enjoy ni kipindi cha mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi wa tisa kipindi wanafunzu wapo wachache ambao hawajasafiri, speed huwa ni kubwa maana mnatumia wachache, ila wanafunzi wakirudi speed mnagombaniana
 
Nipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password kwa wanafunzi, rahisi tu.

Hicho cha mwalimu Nyerere naona hakitiliwagi umakini huenda kwa kuligundia hili uongozi wa chuo wanatafuna bili ya internet
Vyuo vyote og vya serikali net ni bure🙏
 
Nipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password kwa wanafunzi, rahisi tu.

Hicho cha mwalimu Nyerere naona hakitiliwagi umakini huenda kwa kuligundia hili uongozi wa chuo wanatafuna bili ya internet
Must mbona hapa hapa mtu anakataa kama kuna WiFi?
 
Hicho kina hoja Sasa🙏vyenyewe net bure,mie nikitimba dizim pale coet natumia free WiFi,nikiwa maeneo ya town huku jiran na ifm natumia net bure🙏
ni sawa na hakuna,

si tunataka net ya angalau 10Mb/s, sio hizi za hovyo watsapp tu inagoma goma, hufanyi cha maana

wakati tanapa kule makao makuu wanaunganishwa na fibre ya ttcl kitu 100Mb/s bila kikomo
 
Nipo Mbeya huku vyuo kama Must, Mzumbe Mchas, Ucc kuna wifi bure kabisa ila inabidi uombe password kwa wanafunzi, rahisi tu.

Hicho cha mwalimu Nyerere naona hakipewagi attention, hii itakuwa inapelekea chuo kisipate msaada wa kusaidiwa kuweka internet ama ni viongozi wanatafuna pesa za bili ya internet maana wanajua hakuna wa kufatilia sana.
Si,kweli labda vngne hvyi but for MUST hapana
But Generally ,mtoa mada/mchangiaji kuhusu WIFI vyuoni nafikiri anamaanisha whole areas around the college and nearby spaces sio WIFI IPO eneo Fulani tu library, administration au baadhi ya venues hapana inabd Iwe available large area ya campus
Ikiwezekana na Raia wa mama walio Karibu na campus wanufaike
 
ni sawa na hakuna,

si tunataka net ya angalau 10Mb/s, sio hizi za hovyo watsapp tu inagoma goma, hufanyi cha maana

wakati tanapa kule makao makuu wanaunganishwa na fibre ya ttcl kitu 100Mb/s bila kikomo
Wana roho mbaya tu. Kwa dunia ya sasa hakuna chuo kitapangiwa data kwenye budget yake.

Mijitu inayoongoza vyuo ni mijinga. Ndiyo mimi husema siku hizi Watanzania ni "uneducated fools from uneducated schools".
 
na mifumo ilivyo, maneno mengi

mabadiliko yanakuja taratibu sana
 
Back
Top Bottom