Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Mzee ulikuwa mmezaji mzuri hadi leo unakumbuka hayo madudu...
 
Hata mimi sikuwaga na BS, nilikomaa na mapamphlet tu na niliambualia C nikasonga mbele
 
Masomo mepesi kwangu ya Sayansi ni Bio na Physic..
Chemia na Math naziheshim sana. Ilikua ikiwa ni wakati wa pepa la bio naenda school nakimbia ili niwahi kufanya mashambulizi
 
Hata mimi sikuwaga na BS, nilikomaa na mapamphlet tu na niliambualia C nikasonga mbele
Yaani advance ni ujanja tu nakumbuka nilipata notes fulani za tabora boys mwishoni ndio nilikomaa nazo plus nilipata ki-pamphlet fulani hivi kutoka st marygoreth kilikuwa kina maswali ya miaka ya 80 to 90 (Necta) kilikuwa handwritten na jamaa alisoma mzizima high school Mungu hamtupi mja wake nilikuta maswali kama 3 copy n paste ppr 1 sema mambo mengi nilijaza jaza tu but nikakomaa nacho ppr 2 nikaambulia swali la genetics moja wamehamisha kama lilivyo na mimi nikafanya kucopy na ku paste......
 
Masomo mepesi kwangu ya Sayansi ni Bio na Physic..
Chemia na Math naziheshim sana. Ilikua ikiwa ni wakati wa pepa la bio naenda school nakimbia ili niwahi kufanya mashambulizi
Hongera sana Mkuu mimi chemia nilikuwa naionea vibaya mno na ndio lilikuwa somo jepesi kwangu ingwa mwishoni niliambulia che pia......

But practical ndio iliniangusha kwenye masomo ya sayansi practical zilikuwa zinanitesa sana.....

Hata chuoni mzimu wa practical uliniandama sana tofouti na theory.....
 
Chemia sijawahi kuilewa kabisa, toka form two ilinikataa. Naheshim sana anayesoma chemia. Mm practical na theory zote nilikua vzuri mnoo
 
Chemia sijawahi kuilewa kabisa, toka form two ilinikataa. Naheshim sana anayesoma chemia. Mm practical na theory zote nilikua vzuri mnoo
Inapendeza sana Mkuu ila mwisho wa siku yote hayo tushasahau tunapambana na maisha mengine sasa.....
 
Pamphlet zimetoa kimasomaso sana.

Kuna pamphlet moja la chemia, organic na physical lilikuwa limeandikwa na mkono na Mkandawile, jamaa alitoka nalo kibaha miaka ya nyuma tukawa tunapokezana kila anayemaliza anampasia anayefuata, tulipokezana watu 4 tangu jamaa wa Kibaha atuachie na limetutoa vizuri sana kwenye chemia, wengi wetu tuliambua B za chemia kwa mtindo huo.

Kwa chemia nimewahi kusoma tuit kidogosana kwa upande wa Benzene tu, physical na Inorganic niliisoma kwa msaada wa rafiki yangu ikatembea
 
Daah nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wakat pepa ikiwa ngumu na muda unaenda, nilikuwa najihisi bao linataka kutoka
Aisee !! Mi nilikuwa napiga bao kabisaaa, pia kuna siku nililetewa taarifa kwamba nyumbani nimeibiwa, ile hali ya kua na haraka kuwahi home nikajikuta napiga bao
 
Kuna wakat pepa ikiwa ngumu na muda unaenda, nilikuwa najihisi bao linataka kutoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Na hakika mtu akipata pamphlet (chemia bios na physics ) kutoka kibaha mzumbe tabora boys na hakika hana haja ya kusoma tuition atatusua vizuri kabisa bila hata kusoma yale mavitabu makubwa makubwa......

Halafu hakuna topic ambao sikuipenda na kuielewa kama inorganic chemistry mpaka namaliza sikujua nisome nini na sikuwa na notes nzuri za hiyo kitu so nilipata tabu sana.....
 
Hii nouma sana Mkuu.....

Hii mbinu nilikuwa natamani kuijaribu sema niliogopa snitches na ukidakwa chuo huna [emoji2][emoji2][emoji2]
sisi mwaka wetu ilikuwa ni kitu cha kawaida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ulipiga chuo wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…