Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Huwa wanatisha sana
 
Pole sana Mkuu sipati picha hiyo siku ulitamani ardhi ipasuke uzame
 
Ila engineer mkuu hahaha daah ila we jamaa mi sina neno ngoja nikae kimya .....
 
Kipindi hiko niko form three nilikuwa na swahiba wangu Laban, hapo tupo pared tukatangaziwa badala ya Biology tutafanya Geography hapo watu tumejiandaa full nondo na Bios tukitoka tukafanye Geog kesho yake. Tukapiga hesabuuuu, Laban akanambia hapa tulia tu, pepa tutafanya na itavyokuwa na iwe.

Tukakaa mbele kabisa, ticha akaja akagawa pepa watu mzigoni, kucheki swali la kwanza buluu, la pili buluu, la tatu patupu, kuna moja akaliona akanambia hili linaenda. Kulichek kweli linasogea tukaanza kufanta. Tukiangalia nyuma watu wanaofanya ni wachache wengi wanazuga tu. Ile ticha wakat anakuja kugawa pepa akawa amekuja na Burnet, nikamstua oya kitabu hiko, akanambia poa. Akakichukua tukaanza kula chabo swali kwa swali, ticha akarud tukafunika mchezo, tukatoka nje.
 
S
Inabidi uandike muandiko mkubwa ili uende nae sawa katika uchukuaji wa makaratasi
Sasa hapo unakuta mwandiko wako ni mwembamba kama wangu. Hata uandikeje, ukijitahidi sana unajaza pepa moja tu. Ila mwingine akija kuyakopi anaeza andika hata karatasi mbili na nusu
 
Nakumbuka enz hizo pandahill kuna ticha mmoja mlevi alisahisha marking scheme yake akapata 47 .. Aljsahau ... Alkua anasahisha huku amelewa ... Siku anakuja kugawa pepa ... Wa kwanza nan huyu hajaandika jina ... ***** hahaa kumbe ni yeye
Haaahaaaa
 
Aisee !! Mi nilikuwa napiga bao kabisaaa, pia kuna siku nililetewa taarifa kwamba nyumbani nimeibiwa, ile hali ya kua na haraka kuwahi home nikajikuta napiga bao
Hali ya kawaida.
 
Haha..jamaa alicheza kama pele[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Nakumbuka enzi zangu navaa saa kubwa naandika nondo za programming kikaratasi kinakunjwa kinakua kidogo napitisha chini ya saa kimya
 
Muda wa kulala kwenye mtihani unautoa wapi..
hizi ni chai tu
 
Huyo jamaa unayemuongelea anaitwa mndewa alikua mzee wa kupiga ndondo cbe hiyo siku alichubuka ile mbaya, utakua umesoma juzi juzi baada ya tent kujengwa!
 
Mkuu mimi tangu nimeanza kusoma mitihani iliyonikamata kabisa ni michache mno, mara nyingi huwa namaliza kabla ya muda kwa kuwa naelewa nijibu nini japo ufaulu wangu ni wa wastani.
Mimi mtihani ukinijia vizuri ndio utapata sana, kwani kama ninatakiwa kufanya maswali matano nitafanya saba mwisho nakata mawili kulingana na uzito wake
 
umekata solution...alaf ile unaanza kurudia kufanya kwa usahihi unasikia''ZIMEBAKI DKK2'' ukicompare na solution utakayofanya mda hautoshi basi MKONO UNATETEMEKA NA MKOJO UNATAKA UACHIE TARATIBUUUU....haaaaah
 
Mimi mtihani ukinijia vizuri ndio utapata sana, kwani kama ninatakiwa kufanya maswali matano nitafanya saba mwisho nakata mawili kulingana na uzito wake
Hahahaha aiseeee.....kuna jamaa yangu alikuwa na tabia hiyo...anafanya maswali meengi then anachagua eti ni yapi amejibu vizuri zaidi. Kuna watu mko tofauti sana aseeee
 
haaaah haaaah wew jamaaa daah
 
haaaah haaaah wew jamaaa daah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna jamaa hapo kanikumbusha jina la huyo jamaa alikuwa anaitwa mndewa kala sana hela za watu wa CBE ila hyo siku zilitaka kumtokea puani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaa kwahiyo wewe ulikuwa unacheza na sifuri tu kwenye namba?
yaan hilo somo limeniharibia maisha kwa kwel... maana somo kama BIOLOGY nilikuwa nalipasua sio chini ya 70... hapo nimefeli mwendo wa 85 kwenda mbele.. sasa ilikua kazi bure wakati MATHEMATITI napata 3.. ikizid sana 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…