Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
TUMBILI ,TUMBILI,TUMBILI,TUMBILI , TUMBILI, yupo/upo kazini, waache bwatu wapumue, kila siku Nyuzi za TUMBILI.Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.
Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.
Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Ila wewe jamaa fa*a sana kwanini unapinga habari za mtu mzalendo kama Kafulila ?TUMBILI ,TUMBILI,TUMBILI,TUMBILI , TUMBILI, yupo/upo kazini, waache bwatu wapumue, kila siku Nyuzi za TUMBILI.
Hivi nyie mnalipwa shilingi ngapi kwa huu UJINGA wa kunrand TUMBILI???🤔🤔🤔😅😅
Naona umeshajibiwa acha nitulieTUMBILI ,TUMBILI,TUMBILI,TUMBILI , TUMBILI, yupo/upo kazini, waache bwatu wapumue, kila siku Nyuzi za TUMBILI.
Hivi nyie mnalipwa shilingi ngapi kwa huu UJINGA wa kunrand TUMBILI???🤔🤔🤔😅😅
Hebu tuache unafiki huwezi kua na vimelea vya uzalendo ukawa sisiemu let's be serious bwana kwa wema tu? Tangia aingie serikalini lini ulimsikia kupigia kelele ufisadi zaidi yakupongeza nakutoa maelezo kibao?Au sisi ndio hatujui Uzalendo ni nini?Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.
Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.
Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Shangaa na wewe!😳Kwani mfumo ndio hautaki watu Wazalendo?
Mbona Lissu yuko CHADEMA na alitafuna mpunga wa ESCROW?Hebu tuache unafiki huwezi kua na vimelea vya uzalendo ukawa sisiemu let's be serious bwana kwa wema tu? Tangia aingie serikalini lini ulimsikia kupigia kelele ufisadi zaidi yakupongeza nakutoa maelezo kibao?Au sisi ndio hatujui Uzalendo ni nini?
Mzee CCM ndio Wazalendo pekee waliopo,Hebu tuache unafiki huwezi kua na vimelea vya uzalendo ukawa sisiemu let's be serious bwana kwa wema tu? Tangia aingie serikalini lini ulimsikia kupigia kelele ufisadi zaidi yakupongeza nakutoa maelezo kibao?Au sisi ndio hatujui Uzalendo ni nini?
CCM inawatu wengi wazuri ukilinganisha na UpinzaniMzee CCM ndio Wazalendo pekee waliopo,
Upinzani ni nani tukimtazama tuseme huyu anachukia rushwa au ufisadi?
Hana uzalendo WOWOTE, ni boya uraia wake unatia shaka sana.Ila wewe jamaa fa*a sana kwanini unapinga habari za mtu mzalendo kama Kafulila ?
Je, wewe ni jambazi?
Wewe ni mwizi Serikalini?
Kwanini mzalendo Kafulila anakupa shida kiasi hiki?
Nyege za nini mtoto wa kiume?
Mimi nimekuwa nakuzoom tu kitambo sana na nimekufuatilia mpaka nimekujua.
Endeleeni bna MAIGIZO na vichekesho, mtu ambaye Ndoa imemshinda, ataweza nini.Naona umeshajibiwa acha nitulie
Jamaa kwa mshiko ni hatari sana. Kwenye issue ya kukodisha chama kwa Lowassa (rip), lisu alikatiwa kitu kidogo tu na mbowe jamaa akaamua kutusaliti kundi la tuliokuwa tunapinga huo ujio. Sitashangaa nikisikia rob amster alimkatia kitu kidogo pia!Nasikia Lissu yeye akaliganya mshiko kama kawaida yake
Hili kinyago naona siku hizi linajinadi sana mitandaoni. Limeona nini?! Linajichoresha sana lakini.Ndio maana nasema CCM ikae karibu na huyu mtu
Unalipwa na nani kutaka kuzuia wazalendo wasisike?Hana uzalendo WOWOTE, ni boya uraia wake unatia shaka sana.
Tumbili haaminiki.
Mnapoteza sana, wastage of time and energy.
Kwangu mimi wewe na wote mnaoleta nyuzi zenye bniabya kufanya promotion, nawaona ze comedy kama BAMBO, NTANGA,KINGWENDU NA MUHOGO MCHUNGU 🤣😅🤣😅 shame on you
Kinyago kinachokataa 3bn ni kinyago bora sanaHili kinyago naona siku hizi linajinadi sana mitandaoni. Limeona nini?! Linajichoresha sana lakini.
🤣🤣Lissu hana Uadilifu wowoteJamaa kwa mshiko ni hatari sana. Kwenye issue ya kukodisha chama kwa Lowassa (rip), lisu alikatiwa kitu kidogo tu na mbowe jamaa akaamua kutusaliti kundi la tuliokuwa tunapinga huo ujio. Sitashangaa nikisikia rob amster alimkatia kitu kidogo pia!
Shida mfumo wa Siasa nchi hii unatatizo kubwa.Kama kweli aliweza kukataa TZS 3 bilioni kama rushwa toka kwa wababe wa Escrow chama Changu Cha Mapinduzi kijana huyu ni hazina kwetu tumpende tusimpende Taifa lote linatutazama sisi.
Nashauri chama changu cha Mapinduzi CCM kianze polepole kumsogeza huyu mtu karibu kwakuwa ni hazina kwa Chama na kwa Taifa kwani ni kielelezo Cha Uzalendo walionao baadhi ya vijana wa Taifa hili kwa nchi yao Tanzania.
Ni Mimi mwanahabari wa Taifa.
Wala sio tatizo la mfumo tatizo ni sisi wenyewe kushindwa kuwa na majadala yenye tija kwa Taifa.Shida mfumo wa Siasa nchi hii unatatizo kubwa.
Viongozi wengi wanapewa nafasi kwa kujuana zaidi sio uwezo wa mtu
Watu wanaangalia Je mtu huyu atalifaa kundi letu akiwa pale basi ndio anapata cheo ila sio uwezo.
Huyu anayeonesha wazi kukataa mapesa yote kwa kigezo Cha kuipenda nchi yake alipashwa kupewa nguvu zaidi ili kusimamia hicho anachokiamini.
Ulichoandika ndicho nilichomaanishaWala sio tatizo la mfumo tatizo ni sisi wenyewe kushindwa kuwa na majadala yenye tija kwa Taifa.
Unakuta watu wanabishania Tanga na Simba wakati hawajui nani anaweza kuwasaidia baada ya Rais kumaliza mihula yake.
Bwana Kafulila anapashwa kuungwa mkono na walio wengi ili kuwatia moyo wengine wenye tabia kama zake.
CCM ni Chama chenye wazalendo wengiKitendo chake cha kukataa rushwa ni kosa kubwa kwa Chama pendwa!