Vimelea vya Uzalendo alivyonavyo Kafulila ni turufu kwa CCM

HI've
Hivi uyu kafulila yupo na lipi la ajabu, acheni michezo ya kitoto , hivi ukimwangalia usoni uyu yupo na uzalendo upi? Pelekeni ujinga huu fb
 
Je Kafulila karipoti TAKUKURU kuhusu jaribio la kutaka kurubuniwa kwa rushwa?

Huu ni UWONGO tu wa mchana. Kwanza Commissioner wa PPP siyo afisa masuruli, hivyo hana maamuzi ya ku commit kitu hadi arubumiwe.

Mwenye Kasma ni Katibu Mkuu Hazina.

Haya ma threads mnayoanzisha kum promote Kafulila NAWAHAKIKISHIA yatambomo kuliko kumjenga.

Naye alivyo mpumbavu kama Tumbili anaridhika na uchuro huu
 
Tumbili yuko vizuri sana. Mungu ampe maisha marefu yenye hekima na busara.
 
Tatizo nyie watoto 2000 mwaka 2014 wakati Kafulila anakataa hiyo rushwa mlikuwa bado wadogo sana.
 
Ila CCM haiwezi mpa nafasi kwani anaonekana kama mpinzani sijui labda huo mwelekeo mpya
 
Kafulila Kafulia
 
Nyie madogo mnachekesha

Hivi ccm Ina mzalendo?
Mnazijua ccm vizuri nyie

Punguzeni uchawa ati
 
Tatizo nyie watoto 2000 mwaka 2014 wakati Kafulila anakataa hiyo rushwa mlikuwa bado wadogo sana.
Nenda kaangalie profile yangu uone niliingia lini JF kabla ya kuandika huo utumbo.


Ningeweza kuwa hawara wa mama yako na kukuzaa halafu unaniita mimi wa 2000
 
Nenda kaangalie profile yangu uone niliingia lini JF kabla ya kuandika huo utumbo.

View attachment 3064284
Ningeweza kuwa hawara wa mama yako na kukuzaa halafu unaniita mimi wa 2000
View attachment 3064285
Huyu Kafulila kadiri unavyompinga ndio kadiri anavyopata nguvu. Wakati mwingine hii ni mipango ya Mungu mwenyewe. Uzalendo wa Kafulila ni wa kutiliwa mfano na Kila Mtanzania
 
Kafulila is a good man
 
Unga mkono maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…