Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

🤣🤣🤣🤣 Aise bora pep anabagua watu weusi sie weusi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe
 
Hapa Tanzania ccm wanavyowabagua wapinzani hasa Chadema na ilivyokuwa balaa wakati wa dikteta Magufuli naona hao wazungu mnawalaumu bure tu.

Ondoa kwanza boriti kwenye jicho lako mwenyewe kabla hujaondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako.

Ubaguzi hauna kwao according to Mwalimu Nyerere.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aise bora pep anabagua watu weusi sie weusi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe
Si jana tu ulitoka kwangu ukapewa malazi, menyu ya nguvu na nikakusindikiza na gari langu hadi Julius Nyerere International Airport?

Acha unafki Ndugu yangu [emoji28]
 
Amani gani bwana wewe yeye apige ball mambo ya ubaguzi yapo na yatendelea kuwepo. Kama kweli hataki ubaguzi mbona solition simple tuu rudi brazil piga ball
Hayoni mawazo yako wewe sasa si yake yeye Vinicius JR [emoji2]
 
Si jana tu ulitoka kwangu ukapewa malazi, menyu ya nguvu na nikakusindikiza na gari langu hadi Julius Nyerere International Airport?

Acha unafki Ndugu yangu [emoji28]
Ah sasa tunakumbukana kwenye mambo ya kawaida mbona nilivyokuomba unikopeshe billion ukakataaa na hela unazo
 
Hawa mbwa bora mchina aisee hafu wakija wa uhamiaji yanajificha kweli
 
Nenda russia, italy, netherland, india then ufananishe na spain ifike mda mtu ujikubali kuwa upo tofauti nao mbona dani alves aliishi nao
 
Ila kweli Pep ni mbaguzi simpendii, kazima ndoto za sterling na Jesus.

Wahispania sijui wakojeeee, wanakeraaa mnooo
Kama mchezaji hakidhi vigezo vyako ndo unakua umemzima ndoto zake? mbona husemi cancelo, zinchenko, nao wamezimiwa ndoto? pep na conte ukimzingua kidogo hata ukiwa na jina utapigwa benchi mpaka uombe uhamisho
 
Mimi niliwahi soma najamaa mmoja hivi Muhindi humo darasani walikua wanamtania sana, wanaigiza lafudhi yake, wanamkejeli n.k ila sikuwahi ona akidai anabaguliwa kwa rangi yake!!

Same to yule mserbia wa Simba alichofanyiwa ni ubaguzi wa rangi... Ila angekua black wamuite "Mlete Nigga... Au Mlete Mweusi" na zile meme? Ungeona mabango ya black lives matter.

Tuache kujiona inferior ndio tutaheshimika ila Kila tukitaka special treatment na kulialia Mitandaoni ndio tunazidi kudidimizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…