Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

Najua angekua mwanangu Ramos, PEPE na Casemiro hao wajinga wasingekuwa wanamchezea huyo dogo VIN , kapten benzema ugomvi unatokea hana hata habari
 
dogo ajikaze aache udwanzi.
Yeye apige hela kisha awapelekee moto dada zao kotekote. Mambo ya ubaguzi mambo madogo sana mradi hakudhuru mwili. Akidhuru mwili ndiyo unaonyesha ukenge.
 
Neymar pia amewahi kufanyiwa ubaguzi? Mbona mm naona kama yeye sio black
Ukiwaangalia Neymar na Dani Alves unaona utofauti? Neymar ni black lakini anajitahidi kuukataa. Mi naona sawa tu. Ublack ni mkosi, laana, mazingaombwe, uchawi yaani ukenge.
 

Umemaliza kila kitu 👍
 
Dogo ana maudhi kwa mashabiki wa upinzani,

La Ligq ina wachezaji wengi weusi, hapo Madrid kwenyewe kuna wachezaji kama 7 weusi wanaocheza mara kwa mara ila husikii wakibaguliwa

Yupo kama Baloteli
View attachment 2630958

huyu jamaa ni drama Queen. Anatengeneza trouble halafu anajifanya victim Pumbav kabisa.
 
Huyu Dogo ni mpuuzi sana, Typical Black People Mentality. inferiority Complex inawatesa sana watu watu weusi.
 
Kama mchezaji hakidhi vigezo vyako ndo unakua umemzima ndoto zake? mbona husemi cancelo, zinchenko, nao wamezimiwa ndoto? pep na conte ukimzingua kidogo hata ukiwa na jina utapigwa benchi mpaka uombe uhamisho
Hawa wanaonbea hawajui management ikoje. U have to be ruthless kwenye maamuzi yako. Bora usacrifice mtu mmoja ili kulinda timu
 
Kwamba hilo"inferiority complex" halina kiswahili chake au ?
 
Vini kwa sasa ni winger bora kabisa dunian... Kwa hiyo timu pinzani zinapocheza na Madrid wanajitaid kumtoa mchezoni ili wapate matokeo
Sio kwamba alionyeshwa vitendo vya kibaguzi na mashabiki wa RMA?
 
Dogo ana maudhi kwa mashabiki wa upinzani,

La Ligq ina wachezaji wengi weusi, hapo Madrid kwenyewe kuna wachezaji kama 7 weusi wanaocheza mara kwa mara ila husikii wakibaguliwa

Yupo kama Baloteli
View attachment 2630958
Hayo maudhi mbona UEFA hatuyasikii. Kaenda Anfield hajazomewa kaenda Etihad hajazomewa kwanini La Liga tu?!
 

Kuzomewa hata kina Msuva wamezomewa. Em tusaidie hapa unazomewa na kelele za "Monkey Monkey", wengine wamebeba vikaragosi vimening'inizwa wakiwa wanaashiria anyongwe, Wengine wanapiga kelele "DIE, DIE".

Je, hiyo ndio aina ya zomea zomea anayokutana nayo Ronaldo?!

Je, Vini anajiangusha kwenye La Liga tu Champions League hajiangushi?

Kama unafatilia mpira vizuri utagundua pale Madrid Main Man kwa sasa ni Vini. Ni tishio kwa wapinzani kuliko alivyo Rudiger au Camavinga, automatically yeye ndio anakuwa target ya matusi yote. Niamini mimi Christiano Ronaldo angekuwa anacheza Madrid matusi yote angeyakoga yeye tofauti yasingekuwa ya kibaguzi.
 
Vinni ana mdomo sana, kujiangusha kwingi, na kulia Lia kwa refa Kila muda. So hao anawaudhi wenyewe wakimkashifu analalamika. Mbona kina Camavinga au Rodrygo hawakuwahi fanyiwa ubaguzi?
Tunaofatilia La Liga miaka na miaka tunajua haya mambo hayajaanza leo.

Naymar kabaguliwa, nae ana mdomo sio?

Dani Alves kabaguliwa, nae ana mdomo sio?

Samuel Etoo kabaguliwa, nae ana mdomo sio?

Ukifatilia vizuri utagundua hawakubagui hivi hivi unless you are special, lengo wakutoe mchezoni.
 
You got points man!
I can feel you 🙁
Ubaguzi wa aina yoyote haufai. Japo kubaguliwa katika ardhi yako hapo nawapa hongera najua Mangi na watani zangu akina Mura najua msingeyumba waliisoma namba 😂.
Kuna some extent ubaguzi una cross line. Japo nasi weusi tuna udwanzi ndiyo mana tunabaguliwa. Lakini kubaguliwa katika ardhi ya nyumbani, hell no!
Kila mtu ashinda mechi zake za nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…