Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

ana miaka 10 ana akili sana now yupo form three jambe langu
Hongera sana mkuu mwanao alianza chekchea soon baada ya mama ake kutoka labor mwaka 1 bdae akaanza la kwanza baada ya miaka 7 akiwa na umri wa miaka8 akamaliza la7 na kuanza form1 mwaka uliofuata na sasa yuko form 3 akiwa na miaka10...
.
Hii sio ya nchi hii
 
Watoto wanafundishika. Ukimkanya kitu kwa karipio, hatathubutu kukirudia. Tabia ya kulea watoto kama mayai ndiyo inayo waharibu.
Dah mkuu tatizo sisi hatushindi home mda mrefu sasa unarud unakuta amechora ukuta unamaaliza dada anasema ni mtoto,utamfokea baada ya siku mbili unakuta kachora tena bt uzur anachora vitu walivyofundishwa sema tu anachora sehem ambayo sio sahihi
 
Tahadhari na malezi ya watoto. Wakati mnachukia au mnafurahia vitendo vyao mjue wahusika ni nani.

Wataalamu wa malezi wamethibitisha kwamba kuanzia siku mtu anazaliwa hadi miaka sita (6) anachokiona, kukisikia au kukigusa (kwa kutumia viungo vyote vyake vya fahamu) ufungwa na kuganda ubongoni maisha yote. Wakati kwenye komputa unaweza kufuta (delete) kwenye ubongo wa binadamu hakifutiki kitu. Ndoto ni moja ya njia ya kurejesha kumbukumbu hizo.

Hivyo jiulize hayo maneno na vitendo vya mwanao kavipata wapi kabla ya kulaumu au kushangilia.
 
lil man
 
Hapana ndugu yangu...sio wote tuliopitia huko...baadhi yetu wazazi watu bado walikuwa wanadhima ya ukoloni...ndo maana ukaribu na wazee wetu haukuwa kiivyo...ni kipigo kwa kwenda mbele mpaka dada wa kazi alikuwa na mandate ya kugawa dozi...kimbilio angalau lilikuwa kwa mama...nakumbuka tv ilikuwa inakaa kwa mshua...na mpaka arudi yeye ndo anaiwasha...lakini leo mambo ni digitali..mtoto anajichagulia channels za kina Scooby doby mbele ya wazazi na bado fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…