Hapana. Watanzania tutafurahia maana matapeli wa kisiasa watakuwa wameondoka na nchi ibaki na vyama vyenye malengo ya ukweliSiku chadema ikifa watanzania watajutia kuzaliwa
Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
weweeeee!! kama ni mioyoni kwanini kura huwa hazitoshi kila uchaguzi?Kwani shida iko wapi? Mbona wafanyakazi wote,wanajeshi,polisi, wanafunzi wote wamehamia Chadema (mioyo) na kubaki kimya kulinda maslahi yao?
Kwa taarifa hata mawaziri wengine wako Chadema. Chama cha siasa ni moyoni sio usoni, usoni ni maslahi
Mkuu Chama sio viongozi bali ni wanachama na washabiki, viongozi wanaweza kuwa maarufu na wenye nguvu sana lakini bure tuu, na waweza kuwa dhaifu lakini wanachama na wapenzi wake wakaweza fanya maamuzi.Sio Chadema hii mkuu.....Hii Chadema imepoteana kabisa.
Kama unadhani hazitoshi kwa nini nguvu ya dola, NEC na Media zinatumika sana wakati wa uchaguzi?weweeeee!! kama ni mioyoni kwanini kura huwa hazitoshi kila uchaguzi?
Hoja yako ni ufilisi. kwani hao wamehama Misungwi kutoka wilaya nyingine nje ya kanda ya ziwa? au hata ingekuwa kweli kuwa maendeleo yamepelekwa kanda ya ziwa, maendeleo ya umma yanagawiwa kwa kila mtu kiasi kwamba wanapata wana CCM peke yao kiasi kwamba wanachama wa Chadema wakihame chama chao na kuhamia chama cha mapinduzi? Sasa kama maeneleo yamekwishapelekwa huko kwao kulikuwa na haja gani ya kuhama? Maana sasa kama baabara za rami, maji ya bomba, Umeme, huduma za afya, huduma za elimu (maarifa), huduma za mawasiliano. masoko ya mazao ya kilimo, viwanda, kazi vyote vimeshamiri huko kanda ya ziwa kuna haja gani ya kuhama chama? Jionoze kufikiri kwa usahihi kabla ya kuandika chochote.Siwalaumu maana wao wanataka maendeleo na kwa bahati nzuri maendeleo asilimia kubwa yanapelekwa kanda ya ziwa ikimaanisha mwanza, geita, shy town.......wacha wahame makamanda tusife moyo tuendelee na kwingine.
Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Tena jamaa anajipinga hadi yeye mwenyewe duh! Noma sanaAtabaki Mbowe mwenyewe na itikadi zake za kupinga kila kitu
Hata mimi nabakiNa Mimi nabaki
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kuuondoka kwa kiongozi wa ngazi ya kitaifa hakutikisi chama cha siasa kama kuondokewa na viongozi wa ngazi za mashina au matawi. Huko chini ndiko kwenye wanachama. Hii imedhirishwa kwa vyama vyote vya siasa ambavyo viongozi wa kitaifa wamekuwa wakihamahama ama kwa ridhaa yao wenyewe au kulazimishwa. NCCR Mageuzi, CHADEMA, na CCM ni mifano.Ccm saizi wapo kuibongonyoa chadema
Lakini hawata imaliza. Kwasababu chadema ni kubwa sana. Ni sawa na bahari uchote ndoo 84 za maji na utegemee bahari itaisha maji.
Hapo utakuwa unajidanganya.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
Tuanze na katiba imara ndani ya vyama na kuifuata. Ifike wakati ijulikane muda ambapo mtu anatakiwa awe mwanachama kwa muda fulani hasa pale chama kinapokuwa chama kikuu cha upinzani ili kukwepa kuhamahama . wawekwe watu ambao wanajua msingi na katiba ya vyama kabla ya kuwania nafasi.Hao wakiulizwa utasikia "Tunamuunga mkono rais"Kumbe walihamia Chadema kufuata fursa za kiuchumi,walivyoona kinyume na matarajio tuhama chama!Kumbe njaa zimewakimbiza.Ukijitambua huwezi ukuwa unayumbishwa bila hoja za msingi.Haya maigizo ya Leo Chadema kesho Ccm hayana tija kwa nchi hii.Katiba imara itayojenga mifumo imara ndiyo hoja ambayo watanzania tunatakiwa kuipigania zaidi ya hapo hakuna kitu!
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Aisee nimeipenda hii hoja yako ya kujiliwaza.Kwani shida iko wapi? Mbona wafanyakazi wote,wanajeshi,polisi, wanafunzi wote wamehamia Chadema (mioyo) na kubaki kimya kulinda maslahi yao?
Kwa taarifa hata mawaziri wengine wako Chadema. Chama cha siasa ni moyoni sio usoni, usoni ni maslahi
Watu wenye uelewa mdogo tu ndo atakuwa na chama ambacho kina viongozi dhaifi.kama chama kina rasilimali watu kwanini kisiweke watu makini wenye kuangalia maendeleo endelevu ya chama.Mkuu Chama sio viongozi bali ni wanachama na washabiki, viongozi wanaweza kuwa maarufu na wenye nguvu sana lakini bure tuu, na waweza kuwa dhaifu lakini wanachama na wapenzi wake wakaweza fanya maamuzi.
Acha waje Ccm ila wasijewakaumbuka baadae.CHADEMA imeendelea kupata pigo baada ya viongozi wake 84 ktk Wilaya ya Misungwi, Mwanza kufunga Ofisi za chama hicho na kuhamia CCM.
nasikitika kusema kuwa hujui ulisemalo....poleni sana lakini!!Ccm saizi wapo kuibongonyoa chadema
Lakini hawata imaliza. Kwasababu chadema ni kubwa sana. Ni sawa na bahari uchote ndoo 84 za maji na utegemee bahari itaisha maji.
Hapo utakuwa unajidanganya.
Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app
You wish.. mtasubiri sana, hata aondoke nani Chadema itakuepo tuAtabaki Mbowe mwenyewe na itikadi zake za kupinga kila kitu