Viongozi hawa wamesema Hayati Magufuli aliongoza nchi vibaya sana, wewe je?

Wewe lazima uni vamie mzimamzima kwa sababu hiyo ndiyo strategy yako ya kupata kick.

Yani mimi kukujibu ushafanya mtaji.

Mtaji wa nini bana, wakati sisi humu sote ni uzao wa kigogo. wanaojificha nyuma ya tanakirishii!!!?? humu wote sisi ni mazimwi. unaweza ukakuta unabishana na mii baba yako. 🤣 🤣 🤣
 
Mtaji wa nini bana, wakati sisi humu sote ni uzao wa kigogo. wanaojificha nyuma ya tanakirishii!!!?? humu wote sisi ni mazimwi. unaweza ukakuta unabishana na mii baba yako. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nilishasema unatafuta kick.

Mara tu ushataka kuwa baba yangu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Wako ambao walikuwa ni watetezi wa jamii lakini wakasulubiwa na kuteswa..binadamu ndivyo tulivyo...muda utafika na tutaufahamu ukweli na legacy ...
 
Wote wana jipima kipitia yeye ...mzimu unao tembea
Na huku duniani hata uwe mwema vipi mkuu siku ukifa jua wapo wataokusema vbaya na wapo wataokukumbuka kwa mema.... Mimi sio CCM ila hakuna kauli inaniuma kama alivyosema nimejitoa kwaajili yenu!!!! Yule mwamba alikuwa ni bonge la kiongozi aliweza kuona mbali na nchi kama tz bado tunahitaji maraisi wa namna ya magu.... Sitaki kusema aliyoyafanya cuz wote tunajua na Mama ngoja tuendelee kumpa muda ni mapema sana kumlinganisha na magu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo Cha Matatizo sijawahi kuwamini hata kidogo ni Amoeba hawa wajameni.
 
JPM ni jembe Sana aliwafanya mukumbuke hii Dunia sio yenu Tz sio kwa ajili ya watu Fulani tu Wala chama sio kwa ajili ya wakongwe Uongozi maana yake ni mamlaka na yeye aliweza kuyabeba mamlaka vizuri hii nchi bado sana ilikuwa inamwitaji Magufuli kuliko hao viongozi uliowataja hapo Juu.

Katiba ni haki ya kila mtanzania lakini katiba haitobadili life status yako. fanya kazi tafuta tobo utoboe

Namkumbuka Jk. Kwa vyandarua vya bure na madawati shuleni tu.
 
[QUOTE="nygax, post: 39609626, member: Unawezaje kumwita kiongozi tena wa juu kabisa ktk nchi kuwa ni "mwendawazimu"
[/QUOTE]
aliwahi kusema hakupeleka maendeleo baadhi ya wilaya kwa sababu yanaongozwa na upinzani, kuna jina lingine la kumwita mtu huyu zaidi ya mwendawazimu?
 
Kuwa na mwazo tofauti ni haki kabisa kikatiba. Tatizo ni pale baadhi ya watu wanapolazimisha mawazo yao yawe sawa na wengine mpaka kufikia hatua ya kutumia lugha zisizofaa. Unawezaje kumwita kiongozi tena wa juu kabisa ktk nchi kuwa ni "mwendawazimu"
aliwahi kusema hakupeleka maendeleo baadhi ya wilaya kwa sababu yanaongozwa na upinzani, kuna jina lingine la kumwita mtu huyu zaidi ya mwendawazimu?
 
Nilishasema unatafuta kick.

Mara tu ushataka kuwa baba yangu![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kiranga bana, humu wote ni mazombie. hatujuani, hizo kiki zinaanzia wapi? tungekuwa kwenye ulimwengu wa kawaida ingekuwa sawa.
 
Kiranga bana, humu wote ni mazombie. hatujuani, hizo kiki zinaanzia wapi? tungekuwa kwenye ulimwengu wa kawaida ingekuwa sawa.
Hujaijua saikolojia ya mtu.

Ingekuwa hivyo watu wasingefurushana na kutukanana hapa. Mtu anatukanwa hapa hajuani na mtu yeyote, lakini anajisikia vibaya sana mpaka analia.
 
Hujajijua saikolojia ya mtu.

Ingekuwa hivyo watu wasingefurushana na kutukanana hapa. Mtu anatukanwa hapa hajuani na mtu yeyote, lakini anajisikia vibaya sana mpaka analia.

🤣 🤣 🤣
Pole yao, mavitu ya humu unayakuta na kuyaacha humuhumu. ukitoka nayo nje ni shidaa.
 
"The creatures outside looked from pig to man,and from man to pig,and from pig to man again,but already it was impossible to say which was which"


Nimekaa kujiuliza hawa watu ndo wale wale wa miezi sita iliopita duh😆😆
 
Kama kumbukumbu zako zipo sawa utakumbuka msimamo wa chama uliotolewa kabla ya kura za maoni, kwamba ukitoa rushwa na ikathibitika hata kama wajumbe wote watakuchagua jina lako likienda Kamati Kuu lazima wakukate. Huyo jamaa uliyemtolea mfano ni miongoni mwa watu waliokatwa kutokana na tuhuma za rushwa. Hasira zake akaja kusema polepole na Bashiru hawafai, wakati yeye ndo hafai na ni aina ya watu ambao JPM alikua anajaribu kuwaweka mbali na uongozi wa chama na Serikali.

Wakati wa Uongozi wa Awamu ya Nne, watu wa aina hii ndo waliokuwa wanakumbatiwa na chama, matokeo yake almanusura chama kididimie shimoni.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Paradiso atakuwepo?
"Hata kama dhambi zenu ni nyekundu,nitazisafisha zitakuwa nyeupe kama theluji"
Hakuna aliyemkamilifu chini ya jua,kama rais wangu alipata wasaa wa kutubu na kufanya ibada kabla Israel hajainyakua rohoni yake,basi naamini rais wangu yuko sehemu salama kabisa!!.
 
Halafu utashangaa kuna wana CCM wanakattaa, yaani hivi vitoto vya juzi vinajifanya vinaijua CCM kuliko Wasira na Diallo.
 
Hahahaha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…