Viongozi mtatuua kwa sonona

Kwenu hakuna Hifadhi na wewe ukawinde swala na pundamilia ule?

Mali mtaipata shambani mvua zinanyesha wahini
 
ni kweli kaka kilimo ndo mkombozi
 
Kama umezaliwa mjini na huna shamba wala wazazi hawakukusomesha unafanyaje??
 
Tatizo hao wanaokula mlo mmoja kwa siku ndiyo wapiga kula wa CCM, na angalau wenye unafuu wa maisha na wanaokula milo ingalau mitatu ndiyo wanaotaka mabadiliko.
Cha muhimu nf
Mimi naona na bado hiyo bei ingeongezeka mpaka hao wapigiaji kula CCM akili ziwakae sawa,
 
Tutakuwa tumetatua tatizo au tumeongeza tatizo?

Hebu tazama bei za Mchele za mikoa mbali mbali @kwa Kila gunia la kilo 100.... Ripoti iliyotolewa na wizara ya uwekezaji, viwanda na biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…