Hali imeshabadilika tofauti na kipindi kile, vitavunwa kisha vitaingia mikononi mwa mabepari kisha watapanga bei zao kama ilivyo sasa.Mwezi huu wa 3 mbona watu wanavuna, Bei zinashuka tena
Mzee tuwe wakwel tu suala la kujificha kweny kilimo sio issue nowadays tunalima san tu, kwa akili ya kawaida kbs huez furahia maumiv ya wananchi!!Sina mahaba na chama Wala mm sio mwanaccm ila Mimi ni mkulima mwenyewe..
Nilime mwenyewe Kwa nini nisivimbiwe? Wakifunga mipaka naacha kulima kubishana nalima chakula cha familia yangu tuu nione nyie pimbi wa mjini mtakavyofanya.
Miaka yote mazao yanauzwa kwa mfumo wa soko huria, serikali haipangi Bei, Bali sokoHali imeshabadilika tofauti na kipindi kile, vitavunwa kisha vitaingia mikononi mwa mabepari kisha watapanga bei zao kama ilivyo sasa.
Watanzania walio wengi hawana uwezo kiuchumi wa kukabiliana na hilo swala.
Kama kuna biashara zilizo kwenye trend hivi sasa, basi ni HARDWARE na MAZAO.
Punguza kuropa hovyo,ndizi za kupika zinauzwa tatu shs. elfu moja, viazi vitamu size ndogo vitano ni shs. elfu mojaChakula sio wali na maharage tuu,viazi vitamin vya elfu 2 unakula familia,ndizi za elfu 2 unakula familia,ugali nk .
Huna pesa wali WA nini?
Sing a song [emoji444][emoji445] chama chetu cha machawa chanyea nchi samia hee..... kikwetee hee...mwinyi hee...makamba hee...nape heee wanyea nchi.Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh
Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.
[emoji3578]10,000 - 7500 = 2500 [emoji848]
[emoji848]Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
[emoji848]Bado viungo?
[emoji848]Bado sijanunua mafuta ya kula?
Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.
Dar kama segerea tu.
Yupo tajiri hapa anapakia semi mahindi wakati watu wanapishana kununua mahindi ya ruzuku ya serikaliHali imeshabadilika tofauti na kipindi kile, vitavunwa kisha vitaingia mikononi mwa mabepari kisha watapanga bei zao kama ilivyo sasa.
Watanzania walio wengi hawana uwezo kiuchumi wa kukabiliana na hilo swala.
Kama kuna biashara zilizo kwenye trend hivi sasa, basi ni HARDWARE na MAZAO.
Huyo fala atakuambia uende ukalime na wewe, au mbona marekani nao bei ni hizo hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].We chawa wa mama Samia The Sunk Cost Fallacy 2 njoo huku unaitwa
Nunua viazi,ila watu wa Dar mna shida,as we speak huku Mkoani mahindi ya kwenye mabustani yameiva na viazi mviringo tayari Sasa Hadi view vingi vifike huko kwenu mtaona motoPunguza kuropa hovyo,ndizi za kupika zinauzwa tatu shs. elfu moja, viazi vitamu size ndogo vitano ni shs. elfu moja
Sasa unadhani serikali ifanye nini labda?Mzee tuwe wakwel tu suala la kujificha kweny kilimo sio issue nowadays tunalima san tu, kwa akili ya kawaida kbs huez furahia maumiv ya wananchi!!
Ndio tunataka kutoka huko,kwani ni fahari kubaki kwenye pinda mgongo?Tanzania imefikia lini level ya Kilimo Biashara?icho Kilimo cha pinda mgongo kitatupeleka wapi!
Punguza uchawa,ata Marekani Wanalima ila wanazalisha chakula cha kutosha,ziada ndiyo inauzwa.Sasa Mkulima analima heka moja anavuna junia 3 na kuuzia walanguzi wa Kariakoo,Tandale na Temeke, ndiyo Kilimo Biashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vijijini hatulii chakula Bali vitu vingine tuu.Kwani Kijijini ni Marekani kwamba Kuna maisha mazuri?ukiona Hali mbaya mjini basi ujue na Kijijini ni more than worse.Hii ni nchi ya Wakulima!!
Hao ndo wameshika hatima ya Watz kwa ruhusa ya viongozi wetu, wakulima watavuna kisha wao wataenda kununua tani nyingi kwa bei ya kugalaliza, halafu baada ya miezi miwili tu chakula kinaisha kwenye soko hapo ndo wanaanza kupanga bei sasa.Yupo tajiri hapa anapakia semi mahindi wakati watu wanapishana kununua mahindi ya ruzuku ya serikali
Huelewi unachokisema wewe.Miaka yote mazao yanauzwa kwa mfumo wa soko huria, serikali haipangi Bei, Bali soko
Mazao yakiwa machache Bei zinakuja juu, yakiwa mengi Bei zinashuka
Wakodi waweke vibarua, mbona watumishi wengi tu ni wakulima! Biashara nzuri Kwa mtumishi isiyohitaji usimamizi mkubwa ni kilimo.Kuna wakati unajifanya ni mtaalam wa uchumi, kumbe hamna kitu. Wanaolalamikia bei ya bidhaa za chakula kupanda juu kupitiliza, siyo vijana wanaoshi tu mjini!
Kuna wafanyakazi ambao wanakusomeshea watoto wako, wanakutibu ukiumwa, nk. Na hawa wananunua chakula kupitia mishahara yao wanayo pokea kila mwezi.
Sasa bidhaa za chakula zinapopanda kiholela, huku kipato chao kinapobakia pale pale, huoni bajeti zao za kila mwezi zinavurugika? Na wenyewe unawashauri waache kazi za kuwahudumia watu, ilo wakalime vijijini?
EE kwani wewe hupendi faida?Kwa hiyo na vifaa vya ujenzi vikipanda tukafungue viwanda vyetu vya kuzalisha hivyo vifaa au sio?
Yanakodishwa mashamba mengi mno tena bei chee!Kama umezaliwa mjini na huna shamba wala wazazi hawakukusomesha unafanyaje??