Viongozi mtatuua kwa sonona

Viongozi mtatuua kwa sonona

Mwezi huu wa 3 mbona watu wanavuna, Bei zinashuka tena
Hali imeshabadilika tofauti na kipindi kile, vitavunwa kisha vitaingia mikononi mwa mabepari kisha watapanga bei zao kama ilivyo sasa.

Watanzania walio wengi hawana uwezo kiuchumi wa kukabiliana na hilo swala.

Kama kuna biashara zilizo kwenye trend hivi sasa, basi ni HARDWARE na MAZAO.
 
Sina mahaba na chama Wala mm sio mwanaccm ila Mimi ni mkulima mwenyewe..

Nilime mwenyewe Kwa nini nisivimbiwe? Wakifunga mipaka naacha kulima kubishana nalima chakula cha familia yangu tuu nione nyie pimbi wa mjini mtakavyofanya.
Mzee tuwe wakwel tu suala la kujificha kweny kilimo sio issue nowadays tunalima san tu, kwa akili ya kawaida kbs huez furahia maumiv ya wananchi!!
 
Hali imeshabadilika tofauti na kipindi kile, vitavunwa kisha vitaingia mikononi mwa mabepari kisha watapanga bei zao kama ilivyo sasa.

Watanzania walio wengi hawana uwezo kiuchumi wa kukabiliana na hilo swala.

Kama kuna biashara zilizo kwenye trend hivi sasa, basi ni HARDWARE na MAZAO.
Miaka yote mazao yanauzwa kwa mfumo wa soko huria, serikali haipangi Bei, Bali soko

Mazao yakiwa machache Bei zinakuja juu, yakiwa mengi Bei zinashuka
 
Acha waisome namba........... DJ tupe mziki huo kwenye background wakati tunaujadili huu Uzi
 
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

[emoji3578]10,000 - 7500 = 2500 [emoji848]

[emoji848]Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
[emoji848]Bado viungo?
[emoji848]Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
Sing a song [emoji444][emoji445] chama chetu cha machawa chanyea nchi samia hee..... kikwetee hee...mwinyi hee...makamba hee...nape heee wanyea nchi.
 
Hali imeshabadilika tofauti na kipindi kile, vitavunwa kisha vitaingia mikononi mwa mabepari kisha watapanga bei zao kama ilivyo sasa.

Watanzania walio wengi hawana uwezo kiuchumi wa kukabiliana na hilo swala.

Kama kuna biashara zilizo kwenye trend hivi sasa, basi ni HARDWARE na MAZAO.
Yupo tajiri hapa anapakia semi mahindi wakati watu wanapishana kununua mahindi ya ruzuku ya serikali
 
Punguza kuropa hovyo,ndizi za kupika zinauzwa tatu shs. elfu moja, viazi vitamu size ndogo vitano ni shs. elfu moja
Nunua viazi,ila watu wa Dar mna shida,as we speak huku Mkoani mahindi ya kwenye mabustani yameiva na viazi mviringo tayari Sasa Hadi view vingi vifike huko kwenu mtaona moto
 
Tanzania imefikia lini level ya Kilimo Biashara?icho Kilimo cha pinda mgongo kitatupeleka wapi!
Punguza uchawa,ata Marekani Wanalima ila wanazalisha chakula cha kutosha,ziada ndiyo inauzwa.Sasa Mkulima analima heka moja anavuna junia 3 na kuuzia walanguzi wa Kariakoo,Tandale na Temeke, ndiyo Kilimo Biashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio tunataka kutoka huko,kwani ni fahari kubaki kwenye pinda mgongo?
 
Yupo tajiri hapa anapakia semi mahindi wakati watu wanapishana kununua mahindi ya ruzuku ya serikali
Hao ndo wameshika hatima ya Watz kwa ruhusa ya viongozi wetu, wakulima watavuna kisha wao wataenda kununua tani nyingi kwa bei ya kugalaliza, halafu baada ya miezi miwili tu chakula kinaisha kwenye soko hapo ndo wanaanza kupanga bei sasa.
 
Kuna wakati unajifanya ni mtaalam wa uchumi, kumbe hamna kitu. Wanaolalamikia bei ya bidhaa za chakula kupanda juu kupitiliza, siyo vijana wanaoshi tu mjini!

Kuna wafanyakazi ambao wanakusomeshea watoto wako, wanakutibu ukiumwa, nk. Na hawa wananunua chakula kupitia mishahara yao wanayo pokea kila mwezi.


Sasa bidhaa za chakula zinapopanda kiholela, huku kipato chao kinapobakia pale pale, huoni bajeti zao za kila mwezi zinavurugika? Na wenyewe unawashauri waache kazi za kuwahudumia watu, ilo wakalime vijijini?
Wakodi waweke vibarua, mbona watumishi wengi tu ni wakulima! Biashara nzuri Kwa mtumishi isiyohitaji usimamizi mkubwa ni kilimo.
 
Mwaka huu mazao yatashuka sana Kwa hiyo vuteni subira,mvua zinanyesha Kila mahala sasa..

Nimewapa mfano wa mafuta ya kula makelele yalikuwa hivi hivi ila Sasa soko limeleta jibu lenyewe.
 
Wanajali basi wao ndio kwanza wapo busy kutunga uongo kila kitu shwari.

Unapoona mtu mwenye jukumu la kukusanya takwimu tu, anajigeuza waziri wa kilimo yeye na fedha yeye jua dharau za hawa watu zilipofikia something as to happen kuwatoa kwenye njozi nzito.

Yule Bi Chuwa wa NBS nimemuona wa ovyo mno aliposema inflation ya chakula itashuka kipindi cha miezi mitatu ijayo; yeye ndio waziri wa chakula ata ongeza supply au waziri wa fedha atakaendoa kodi na tozo.

Yaani hawa watu wanadhani wote sisi ni vilaza kisa hizo doctorates zao za magumashi. Na unapojiongopea maana yake ukubali tatizo lipo na wala hutakuwa na muda wa kutafuta suluhisho; wakati uhalisia ni kwamba kuna familia nyingi sana hasa Dar zinashindia mlo mmoja kwa sababu za bei ya chakula kupanda.
 
Back
Top Bottom