Viongozi mtatuua kwa sonona

Viongozi mtatuua kwa sonona

kuna chapta kwenye kitabu cha richi dadi pua dadi uli-skip nakushauri rudi kukisoma tena
Maisha ya mbele na maisha ya bongo ni vitu viwili tofauti ni sawa na maji na matope.
Mbele it's possible mtu kutoboa mtu ukiwa na miaka 18-23.
Kule future is bright kucompare na huku kwa mafisadi*
 
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

[emoji3578]10,000 - 7500 = 2500 [emoji848]

[emoji848]Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
[emoji848]Bado viungo?
[emoji848]Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
Hiyo 2500 inategemea na kazi uliyofanya ukapata 10000.Ukiumwa maumivu ya joint inabidi mgawane na Pharmacy,wakupatie Diclopar za 1000![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Watanganyika tunaishi maisha ya ungaunga mwana tusonge sana!
 
Hapo unaomba Mungu usiumwe mwaka mzima?
Ukienda pharmacy tu, ndio unakuwa chizi mazima 🤣
Hizo bei za dawa ni iv🔥🔥🔥
 
Jamii haipati milo mitatu iliyo kamili.Tutarajie afya mbovu,udumavu,hasira,sonona,ugomvi wa familia,kukondeana,kuvaa nguo nyembamba na kuziita ni fashions,taharuki,kuchukiana,kununanuna na upotevu wa amani mioyoni mwa wanajamii.
Kuvaa nguo nyembamba na kuita fashion,kumbe njaa kali![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Maharagwe kilo 4000 + mchele 3500 = jumla 7500Tsh

Hao mnaowasifu wawekezaji wanatulipa 10,000/= per day.

[emoji3578]10,000 - 7500 = 2500 [emoji848]

[emoji848]Bado sijanunua mkaa wa kupikia?
[emoji848]Bado viungo?
[emoji848]Bado sijanunua mafuta ya kula?

Nyie mnakula Swala, Pundamilia, Mbuni Tembo......sisi kila siku tunakula maharagwe chukuchuku.

Dar kama segerea tu.
Ila jamani mtaani hali ni mbaya sana,maisha magumu kama tuko Somalia.Jana kuna mteja wangu Mama mtu mzima,kaja kachakaa ananiambia alikuwa kijijini kwao Musoma,anasema Hali ya chakula ni mbaya sana,watu wanalala njaa.
 
Ekari ngap?
Mihogo pia ni zao la msimu?
Sio kila mtu ana maarifa ya kilimo?
Pia kilimo ni 50-50 unaweza ukatoboa....pia unaweza usitoboe?
Pia huo mkopo ni kiasi gani na una masharti gani?
Hekari 15
Maarifa yanatafutwa
Kilimo Cha mihogo ni uhakika
Milioni 1 inawezekana kulima hela 10
Masharti ni uwe mtanzania, mkazi wa halmashauri husika
 
Nawakumbusha tuu kwamba
1.Mvua zinanyesha nendeni shamba la sivyo mtaendelea kulia lia hivyo hivyo
2.Serikali imetangaza Vijana waombe kujiounga kwenye mashamba ya pamoja zaidi ya Vijana mil.1 wanahitajika,wametagutiwa mashamba na Kila kitu watapewa,Sasa endeleeni ku bet.
3.Kama.huna pesa Rudi Kijijini acha kusumbua watu mjini.
Kwani Kijijini ni Marekani kwamba Kuna maisha mazuri?ukiona Hali mbaya mjini basi ujue na Kijijini ni more than worse.Hii ni nchi ya Wakulima!!
 
Angalizo:

Serikali ya CCM wanapoongelea VIJANA,

Wanamaanisha vijana wa UVCCM.

Kama wewe ni kijana na haupo UVCCM, wewe ni Mzee[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom