Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .

Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .

Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?

Msafara_wa_Kaimu_Katibu_Mkuu_Bavicha_Mhe._Yohana_Kaunya_umeshindwa_kuvuka_kuelekea_Ukerewe%2C_...jpg
 
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu...
Seems we have people in various positions who are still psychologically affected and are finding it difficut to understand and realize that the Country is in a new Era.

Unless otherwise things are been done purposely so as to undermine the current regime....
 
Mkuu Erythrocyte, viongozi wa CCM na wengine waliopo katika vyombo vya dola, katika siku ya leo wanaweza kupata tafakuri kupitia maandiko matakatifu kama vile ambavyo nukuu yake ipo hapa chini;

MATENDO 5
27 Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia, 28“Tuliwakatazeni waziwazi kufundisha kwa jina la mtu huyu; sasa mmeyaeneza mafundisho yenu pote katika Yerusalemu na mnakusudia kutuwekea lawama ya kifo cha mtu huyo.”

29 Hapo Petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, “Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.

30 Mungu wa babu zetu alimfufua Yesu baada ya nyinyi kumuua kwa kumtundika msalabani.

31 Huyu ndiye yule aliyekwezwa na Mungu mpaka upande wake wa kulia, akawa kiongozi na Mwokozi, ili awawezeshe watu wa Israeli watubu, wapate kusamehewa dhambi zao.

32 Sisi ni mashahidi wa tukio hilo, naye Roho Mtakatifu ambaye Mungu amewapa wale wanaomtii, anashuhudia pia tukio hilo.”

33 Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.

34 Lakini Mfarisayo mmoja aitwaye Gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa sheria na aliyeheshimika sana mbele ya watu wote, alisimama mbele ya lile Baraza, akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.

35 Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!

36 Zamani kidogo, kulitokea mtu mmoja jina lake Theuda, akajisema kuwa mtu wa maana na watu karibu 400 wakajiunga naye. Lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika na kikundi chake kikafa.

37 Tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea Yuda wa Galilaya. Huyu naye aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.

38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.

39 Lakini kama imeanzishwa na Mungu, siyo tu kwamba hamtaweza kuwashinda, bali mtajikuta mnampinga Mungu.” Basi, wakakubaliana naye.
 
Mbona wewe mpumbavu unapenda kuhusisha kila kitu na awamu ya tanò hata ukishindwa maisha awamu ya tano! Kichwa lako umelibeba tu linachosha mishipa ya shingo mpuuzi wewe!
Pole kwa maumivu mkuu
 
Back
Top Bottom