Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Ila CCM wahuni Sana 😊😊😊😀 alaf wote wamehepa wakamwacha mwamba mmoja wa kutoa taarifa kuwa kivuko ni kibovu 😂
umenifurahisha asubuhi hii kwa kwel hahahaha
 
Vikinunuliwa mnakejeli. Vikiwepo mnataka kuvitumia. Ingelikuwa mimi hata kuvigusa tu, mngeliipata freshi!
 
Hio Kivuko Ikizima mtakuja kumlaaumu nani?
Mamlaka zimeshasema Kivuko ni Kibovu nyie kwa Ujuzi Upi mnapinga ilo? Tuache kuleta siasa kwenye Maisha ya watu
 
Mpumbavu kabisa.
Mimi ni mtumishi wa TEMESA nimempigia technian wa hicho kivuko ananiambia wamepigiwa simu wasivushe hao watu.
Hio Kivuko Ikizima mtakuja kumlaaumu nani?
Mamlaka zimeshasema Kivuko ni Kibovu nyie kwa Ujuzi Upi mnapinga ilo? Tuache kuleta siasa kwenye Maisha ya watu
 
nyie wana chadema inabidi mkubali kuwa taifa letu lina watu wengi ambao hawajastaarabika kiasi kuheshimu makubalianao. bahati mbaya zaidi wengi wa wenye mamlaka ndo hao, hata kwenye kundi lenu wamo pia. HATUJASTAARABIKA KIWANGO CHA KUFUATA PRESICRIPTIONS TULIZOZIANDIKA WENYEWE
 
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .

Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .

Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?

View attachment 1970305
Kwa nini wasizunguke bunda wapite kisorya wavukie huko?
 
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .

Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .

Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?

View attachment 1970305
Ni kitendo cha wanaoelekea kuzimu.
 
vyako ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Vya nani? Kama nanyi vyenu kwanini vikiwa vinanunuliwa huwa mnakejeli halfu vikiwa vinafanya kazi kwanza kuvishadidia. Yaani ningelikuwa mimi nipo hapo feri, hata gari lenu ningetumbukiza ziwani. Wajinga sana ninyi! Tena mna bahati sasa hivi nipo kwenye timu ya "kuwapanga vizuri" Machinga hapa jijini!
 
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .

Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .

Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?

View attachment 1970305
Tundu lissu alipendwa na watu wote wapi ww..kuweni mnaongea ukweli
 
Back
Top Bottom