UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Tena walikuwa wanaimba kama kasuku 😂😂Mliosema mama anaupiga mwingi ni ninyi wenyewe. Sasa hivi imekuwaje tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena walikuwa wanaimba kama kasuku 😂😂Mliosema mama anaupiga mwingi ni ninyi wenyewe. Sasa hivi imekuwaje tena?
Kuna jamaa yangu nilimwambia kaka ni mapema mno kuimba hizi nyimbo za kusifu. Akawa hanielewi, he was so happy back then wakati mimi nilikuwa ninaona kiza totoro mbele. Sasa hivi mimi niko at peace with the situation, jamaa yangu yuko restless na he curses the regime mimi namcheka tu. Naishia kumuambia nilisha jiandaa kisaikolojia kwa haya tuyaonayoTena walikuwa wanaimba kama kasuku 😂😂
Nimecheka ka mazuri kha!Ila CCM wahuni Sana 😊😊😊😀 alaf wote wamehepa wakamwacha mwamba mmoja wa kutoa taarifa kuwa kivuko ni kibovu 😂
Mtakoma nunueni kivuko chenu kila wakati kulalamika tu kama watoto yatima.Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .
Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .
Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?
View attachment 1970305
Amina kwa andiko hili takatifu.Mkuu Erythrocyte, viongozi wa CCM na wengine waliopo katika vyombo vya dola, katika siku ya leo wanaweza kupata tafakuri kupitia maandiko matakatifu kama vile ambavyo nukuu yake ipo hapa chini;
MATENDO 5
27 Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia, 28“Tuliwakatazeni waziwazi kufundisha kwa jina la mtu huyu; sasa mmeyaeneza mafundisho yenu pote katika Yerusalemu na mnakusudia kutuwekea lawama ya kifo cha mtu huyo.”
29 Hapo Petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, “Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.
30 Mungu wa babu zetu alimfufua Yesu baada ya nyinyi kumuua kwa kumtundika msalabani.
31 Huyu ndiye yule aliyekwezwa na Mungu mpaka upande wake wa kulia, akawa kiongozi na Mwokozi, ili awawezeshe watu wa Israeli watubu, wapate kusamehewa dhambi zao.
32 Sisi ni mashahidi wa tukio hilo, naye Roho Mtakatifu ambaye Mungu amewapa wale wanaomtii, anashuhudia pia tukio hilo.”
33 Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
34 Lakini Mfarisayo mmoja aitwaye Gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa sheria na aliyeheshimika sana mbele ya watu wote, alisimama mbele ya lile Baraza, akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.
35 Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!
36 Zamani kidogo, kulitokea mtu mmoja jina lake Theuda, akajisema kuwa mtu wa maana na watu karibu 400 wakajiunga naye. Lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika na kikundi chake kikafa.
37 Tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea Yuda wa Galilaya. Huyu naye aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.
38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.
39 Lakini kama imeanzishwa na Mungu, siyo tu kwamba hamtaweza kuwashinda, bali mtajikuta mnampinga Mungu.” Basi, wakakubaliana naye.
Mungu ni wetu sote!!Angekuwa Ni wa kusubu baasi angeisulubu CCM ,.CCM ilimuua Ben Saanane ,CCM ilimwaga damu ya LISSU .CCM ilinyang'anya haki za wananchi Kwenye uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.BWANA MUNGU UTUHURUMIEMungu isulubu chadema
HakikaCCM ni marehemu anaetembea.
hapana BAVICHA ilishakufa na kuzikwa na Mwendawazimu kule Chattle Mabatini!Bavicha bado ipo?!
CCM ni wepesi kuliko pamba
Hiki Chama jamani.Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .
Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa upuuzi kama huu waliofanyiwa Bavicha .
Huku ndio kuupiga mwingi kunakodaiwa na wanaccm ?
View attachment 1970305
Ndio aliupiga mwingi akipoanza. Kwani uongo? nyie ndio makaika wa shetani jiwe msiopenda mambo mema yakifanyika.KANUSHO: CDM ndio mlituambia mama anaupiga mwingi, mbona mnataka kugeuka?...
Kazi rahisi sana, waambieni viongozi wa Bavicha watulie zao tu hapo KISORYA wale zao nyama tu, tuone kama hicho kivuko kitakaa week bila kutoa huduma....Hapo KISORYA kuna dona nyama choma la uhakika wapige misosi tu...
Ukombozi haujawahi kuwa rahisi duniani, pambaneni msitegemee mteremko kufikia mafanikio...CCM wana dola, dola tamu huwezi kupewa kirahisi ndio maana M7 anakuwa muwazi tu kule UG, yeye aliipata dola polini kwa mtutu na wewe kama unaitaka ingia polini..
What do you mean by "the country is in a new Era"? Have you miraculously moved into a make believe Tanzania that exists only in your imaginations?Seems we have people in various positions who are still psychologically affected and are finding it difficut to understand and realize that the Country is in a new Era.
Unless otherwise things are been done purposely so as to undermine the current regime....
Ataruhusu mchakato wa Katiba Mpya uanze?Ndio aliupiga mwingi akipoanza. Kwani uongo? nyie ndio makaika wa shetani jiwe msiopenda mambo mema yakifanyika.
Samia anapanga Safu vizuri atawfurahisha 2023
Tuna anticipate kutokana na mwenendo wake.Ataruhusu mchakato wa Katiba Mpya uanze?
Atahakikisha Tume Huru inakuwepo kabla ya 2025?
Ushahidi wa yeye kufanya hivyo unao?