Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Ila CCM wahuni Sana 😊😊😊😀 alaf wote wamehepa wakamwacha mwamba mmoja wa kutoa taarifa kuwa kivuko ni kibovu 😂
Mkuu nakubaliana na hoja yako, lakini siyo “alaf”, ni halafu. Tafadhali.
 
KANUSHO: CDM ndio mlituambia mama anaupiga mwingi, mbona mnataka kugeuka?...

Kazi rahisi sana, waambieni viongozi wa Bavicha watulie zao tu hapo KISORYA wale zao nyama tu, tuone kama hicho kivuko kitakaa week bila kutoa huduma....Hapo KISORYA kuna dona nyama choma la uhakika wapige misosi tu...

Ukombozi haujawahi kuwa rahisi duniani, pambaneni msitegemee mteremko kufikia mafanikio...CCM wana dola, dola tamu huwezi kupewa kirahisi ndio maana M7 anakuwa muwazi tu kule UG, yeye aliipata dola polini kwa mtutu na wewe kama unaitaka ingia polini..
Kiongozi gani wa CDM aliyekwambia wewe na wenzako hayo maneno kuwa “mama anaupiga mwingi”?

Halafu siyo “polini”, ni porini. Wtf?
 
Mkuu Erythrocyte, viongozi wa CCM na wengine waliopo katika vyombo vya dola, katika siku ya leo wanaweza kupata tafakuri kupitia maandiko matakatifu kama vile ambavyo nukuu yake ipo hapa chini;

MATENDO 5
27 Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia, 28“Tuliwakatazeni waziwazi kufundisha kwa jina la mtu huyu; sasa mmeyaeneza mafundisho yenu pote katika Yerusalemu na mnakusudia kutuwekea lawama ya kifo cha mtu huyo.”

29 Hapo Petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, “Lazima tumtii Mungu, na siyo binadamu.
30 Mungu wa babu zetu alimfufua Yesu baada ya nyinyi kumuua kwa kumtundika msalabani.
31 Huyu ndiye yule aliyekwezwa na Mungu mpaka upande wake wa kulia, akawa kiongozi na Mwokozi, ili awawezeshe watu wa Israeli watubu, wapate kusamehewa dhambi zao.
32 Sisi ni mashahidi wa tukio hilo, naye Roho Mtakatifu ambaye Mungu amewapa wale wanaomtii, anashuhudia pia tukio hilo.”

33 Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
34 Lakini Mfarisayo mmoja aitwaye Gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa sheria na aliyeheshimika sana mbele ya watu wote, alisimama mbele ya lile Baraza, akataka wale mitume watolewe nje kwa muda mfupi.
35 Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!
36 Zamani kidogo, kulitokea mtu mmoja jina lake Theuda, akajisema kuwa mtu wa maana na watu karibu 400 wakajiunga naye. Lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika na kikundi chake kikafa.
37 Tena, baadaye, wakati ule wa kuhesabiwa watu, alitokea Yuda wa Galilaya. Huyu naye aliwavuta watu wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake wakatawanyika.
38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie watu hawa hatua yoyote; waacheni! Kwa maana, ikiwa mpango huu au shughuli yao hii imeanzishwa na binadamu, itatoweka yenyewe.
39 Lakini kama imeanzishwa na Mungu, siyo tu kwamba hamtaweza kuwashinda, bali mtajikuta mnampinga Mungu.” Basi, wakakubaliana naye.
Mkuu una akili sana
 
Wacha kuonyesha ujuha wako hadharani wewe!!!! Pesa ni ya walipa kodi wa Tanzania bila kujali ni wa itikadi ipi. Unawezaje kuandika huu ujinga kwamba kivuko ni cha maccm!? Mbona hawajakipaka rangi za maccm? Unadhani ni kwanini!?
Kati yangu na wewe nani juha?

Unawezaje kujinadi kuwa fedha ni wananchi wakati huna maamuzi nayo?

Kachukue basi hiyo pesa ukatumie kwa matumizo yako kama vile kunu ulua chupi,kenge wewe!!
 
Hebu tuondolee upumbavu wako hapa!!! Wale Wabunge kule Bungeni wanamuwakilisha nani kwa akili yako? Kenge babaako pimbi wewe!!! Watanzania Wapumbavu kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Eti kivuko cha ccm PUMBAVU!!!


Kati yangu na wewe nani juha?

Unawezaje kujinadi kuwa fedha ni wananchi wakati huna maamuzi nayo?

Kachukue basi hiyo pesa ukatumie kwa matumizo yako kama vile kunu ulua chupi,kenge wewe!!
 
Kati yangu na wewe nani juha?

Unawezaje kujinadi kuwa fedha ni wananchi wakati huna maamuzi nayo?

Kachukue basi hiyo pesa ukatumie kwa matumizo yako kama vile kunu ulua chupi,kenge wewe!!
Hivi wewe ulinunuliwa lini na ccm ?
 
RAIS SAMIA: SERIKALI YAKO KUNYAMAZIA TUHUMA KAMA HIZI DHIDI YA WATENDAJI WA SERIKALI NI KULIPASUA TAIFA!

Hizi ni tuhuma nzito kutolewa na Mwenyekiti wa BAVICHA. Katika nchi za kidemokrasia, tuhuma hizi zingelipelekea kuundwa kwa Tume Huru ya Ki-Bunge ili kuchunguza madai hayo. Tuhuma hizi zinaibua mambo mazito ambayo ni ubaguzi wa kiitikadi na suala la kiuchumi! Kivuko kilichonunuliwa kwa Fedha ya Kodi zetu kitafanyaje ubaguzi huo? Wasimamizi wa Kivuko hicho watalikoseshaje Taifa mapato kwa mambo kama haya ya ubaguzi wa itikadi?

Sisi Askofu tunamshauri Waziri mwenye dhamana achunguze madai hayo, vinginevyo, akikaa kimya tutamuomba Rais Samia auambie umma kilichojiri (Ezekieli 33:1-20). Tunawasihi watu wote kusambaza ujumbe huu hadi ufike Ikulu ya Chamwino na Ikulu ya Magogoni.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

9C46A53A-735B-401E-8557-8E9F5BC63F8B.jpeg
 
Hivi huyu askofu hana kazi ya kufanya ee?!!! Nina mashaka kanisani kwake hakuna waumini ndo maana
 
Back
Top Bottom