Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Tena walikuwa wanaimba kama kasuku πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna jamaa yangu nilimwambia kaka ni mapema mno kuimba hizi nyimbo za kusifu. Akawa hanielewi, he was so happy back then wakati mimi nilikuwa ninaona kiza totoro mbele. Sasa hivi mimi niko at peace with the situation, jamaa yangu yuko restless na he curses the regime mimi namcheka tu. Naishia kumuambia nilisha jiandaa kisaikolojia kwa haya tuyaonayo
 
Ila CCM wahuni Sana πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜€ alaf wote wamehepa wakamwacha mwamba mmoja wa kutoa taarifa kuwa kivuko ni kibovu πŸ˜‚
Nimecheka ka mazuri kha!
 
Sasa Kama kulikuwa na abiria wengine umekuwaje? CCM imeshafika kwenye climax ya kufikiri.
 
Mtakoma nunueni kivuko chenu kila wakati kulalamika tu kama watoto yatima.
 
Amina kwa andiko hili takatifu.
 
Mungu isulubu chadema
Mungu ni wetu sote!!Angekuwa Ni wa kusubu baasi angeisulubu CCM ,.CCM ilimuua Ben Saanane ,CCM ilimwaga damu ya LISSU .CCM ilinyang'anya haki za wananchi Kwenye uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.BWANA MUNGU UTUHURUMIE
 
KANUSHO: CDM ndio mlituambia mama anaupiga mwingi, mbona mnataka kugeuka?...

Kazi rahisi sana, waambieni viongozi wa Bavicha watulie zao tu hapo KISORYA wale zao nyama tu, tuone kama hicho kivuko kitakaa week bila kutoa huduma....Hapo KISORYA kuna dona nyama choma la uhakika wapige misosi tu...

Ukombozi haujawahi kuwa rahisi duniani, pambaneni msitegemee mteremko kufikia mafanikio...CCM wana dola, dola tamu huwezi kupewa kirahisi ndio maana M7 anakuwa muwazi tu kule UG, yeye aliipata dola polini kwa mtutu na wewe kama unaitaka ingia polini..
 
Hiki Chama jamani.

✌✌✌
 
Ndio aliupiga mwingi akipoanza. Kwani uongo? nyie ndio makaika wa shetani jiwe msiopenda mambo mema yakifanyika.

Samia anapanga Safu vizuri atawfurahisha 2023
 
What do you mean by "the country is in a new Era"? Have you miraculously moved into a make believe Tanzania that exists only in your imaginations?
 
Ndio aliupiga mwingi akipoanza. Kwani uongo? nyie ndio makaika wa shetani jiwe msiopenda mambo mema yakifanyika.

Samia anapanga Safu vizuri atawfurahisha 2023
Ataruhusu mchakato wa Katiba Mpya uanze?
Atahakikisha Tume Huru inakuwepo kabla ya 2025?

Ushahidi wa yeye kufanya hivyo unao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…