Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

Ila CCM wahuni Sana 😊😊😊😀 alaf wote wamehepa wakamwacha mwamba mmoja wa kutoa taarifa kuwa kivuko ni kibovu 😂
umenifurahisha asubuhi hii kwa kwel hahahaha
 
Vikinunuliwa mnakejeli. Vikiwepo mnataka kuvitumia. Ingelikuwa mimi hata kuvigusa tu, mngeliipata freshi!
 
Hio Kivuko Ikizima mtakuja kumlaaumu nani?
Mamlaka zimeshasema Kivuko ni Kibovu nyie kwa Ujuzi Upi mnapinga ilo? Tuache kuleta siasa kwenye Maisha ya watu
 
CCM ni chama Cha kutumia fursa, wameona fursa ya ujinga na upumbavu vichwwni mwa Wananchi.
 
Mpumbavu kabisa.
Mimi ni mtumishi wa TEMESA nimempigia technian wa hicho kivuko ananiambia wamepigiwa simu wasivushe hao watu.
Hio Kivuko Ikizima mtakuja kumlaaumu nani?
Mamlaka zimeshasema Kivuko ni Kibovu nyie kwa Ujuzi Upi mnapinga ilo? Tuache kuleta siasa kwenye Maisha ya watu
 
nyie wana chadema inabidi mkubali kuwa taifa letu lina watu wengi ambao hawajastaarabika kiasi kuheshimu makubalianao. bahati mbaya zaidi wengi wa wenye mamlaka ndo hao, hata kwenye kundi lenu wamo pia. HATUJASTAARABIKA KIWANGO CHA KUFUATA PRESICRIPTIONS TULIZOZIANDIKA WENYEWE
 
Kwa nini wasizunguke bunda wapite kisorya wavukie huko?
 
Ni kitendo cha wanaoelekea kuzimu.
 
vyako ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Vya nani? Kama nanyi vyenu kwanini vikiwa vinanunuliwa huwa mnakejeli halfu vikiwa vinafanya kazi kwanza kuvishadidia. Yaani ningelikuwa mimi nipo hapo feri, hata gari lenu ningetumbukiza ziwani. Wajinga sana ninyi! Tena mna bahati sasa hivi nipo kwenye timu ya "kuwapanga vizuri" Machinga hapa jijini!
 
Tundu lissu alipendwa na watu wote wapi ww..kuweni mnaongea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…