Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa



Ningependa kupata usahihi wa taarifa hii na kama ni kweli basi maneno ya Sitta juu ya slaa yanazidi kupata nguvu. Hivi uliona wapi mahakama ikaunda tume? hii sheria ya wapi ? masuala ya tume ni ya watendaji ambao ni serikali na si mahakama. Duh kweli babu sasa anaanza kuzeeka vibaya na ukiona mtu anatoa maneno hata yasiyo eleweka ujue ndio anafikia kikomo
 
Utoto una kusumbua sana!
Angalia ID yako jinsi inavyo onesha inferiority complex uliyonayo.

Kama hujui kuweka vitu kwenye midhani na ukachambua sijui nikusaidie nini?

Mtu usiyejua ni kosa kwa polisi kuuwa sijui nikusaidie nini?

Nakushauri unywe maji ya kutosha na kupata usingizi wa kutosha!
Chanzo cha vifo vyote hivi ni kwa cdm kutofuata sheria na taratibu za maandamano + mikutano, na hii ndio imekuwa weak point kubwa ya cdm siku zote, hakuna haja yakuua watu kwa kujitafutia mtaji wa kisiasa
 
Kwa ujinga ulionao we umekaribia mwisho kabisa. Kila siku namwomba mungu awachukkue mapema watu wenye akili kama za kwako na ritz tume na wengineo endeleza list ili niongeze maombi.......
Marehemu utetezi autowe wapi? wapo walio hai, wengine wapo kikaoni, wengine tupo mtandaoni. Tutawasikia wakitoka huko kwani sisi bado hatujawa maiti tupo njiani kuelekea huko.
 
CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.
Vipi ACP Ahmed Msangi kahudhuria pia?
 
Mimi huwa nawashangaa hawa viongozi wa CDM nikulalamika tu kilasiku kuwa MAGAMBA wanawatumia polisi kuwahujumu na kuwaua wafuasi wao nanyi CDM simnayo nguvu ya umma itumieni tukaebarabarani uone kama magamba wataendelea kukaa magogoni.
 

Anaokoa maisha yake kutoka kwa nani? Mwandishi wa habari ambae anakwenda kwenye sehemu iliyovunjika amani ni lazima ajuwe mbinu za kujisalimisha, tuseme ukweli. Hakuna duniani anaejisalimisha yanakotokea mashambulizi na akaenda kumkumbatia kiongozi wa mashambulizi. Inabidi mjifunze namna ya kujisalimisha kwa askari yanapotokea machafuko. Njia rahisi ni kunyanyua kitambaa cheupe huku umejilaza chini, kama hauna kitambaa hata shati lako kama huwezi unalala kifudifudi. Hata siku moja usijaribu kukimbilia wanakotokea askari wanaoshambulia, wanajuwa umesha panic na uko tayari kwa lolote na umejioa Mhanga.

Huo ndio ukweli. Fikiri! tusipelekee jazba kupelekea kuwacha kufikiri ukweli na kilichomfikisha marehemu kwenye umauti wake. Tuwe makini.
 
Mkuu usiseme kuwalipizia ndugu zao kwani huenda hata hao ndugu zao wanawapinga kwa mambo yao wanayoendelea kuyafanya kwahiyo ni vyema kukomaa nao wenyewe
Unapokosa tawi, huishia na majani. Atleast upate kitu cha kusend signal
 
Mwema na mwenzake Kamuhanda wapelekwe kwa Ocampo kwa hayo mauaji yanayoendelea kufanywa na jeshi la polisi.
 
kikubwa hapo ni keexpose mazungumzo kwa raia, isiwe siri!
 
Dr. Slaa na CDM kwa ujumla tunataka baada ya hapo mtoe tamko kama vipi tuanze kupambana wenyewe

Mkuu kama huko akilini mwangu vile,huku kulalamikia pembeni na wakati watu wachache wanaendelea kutuona ni vikatuni na wanaendelea kutuua watakavyo haina maana,kauli kama yana mwisho,mungu hapendi hazina tija tena,inabidi kwa umoja wetu Watanzania wote tuungane kama ni maandamano au lolote kuonyesha utawala na wadhalimu wachache kua nchi hii ni yetu sote na hakuna mwenye haki ya kutuua jinsi atakavyo!
 
Wewe ndo wakula ban,hayo mnayoongea ni zaidi ya matusi!yanastahili zaidi ya matusi,una bahati huonekani **** wewe!

Naona askari umewashindwa na wanaonekana mitaa yote, nami ni mmoja wao, mlinzi shirikishi, njoo mtaa wa Livingstone na Mafia, Dar., ulizia Mzee Zomba utanikuta, kijiwe kinaitwa Gogovivu.
 
yaani naona kichefu chefu kuipenda hata kuwa mzalendo ndani ya ya serikali dharimu ya ccm isiyokuwa na huruma na wananchi wake
 
Unapokosa tawi, huishia na majani. Atleast upate kitu cha kusend signal

Hakuna haja ya kwa Ocampo wakati magereza tunayo hapa wamejazwa maskini kwa kesi za kusingiziwa na za kijinga
 
ondoa ujinga wako hapa
 

Mkuu nina feeling kwamba wengi humu jamii farums hamkusikiliza WAPO radio 98.0 FM. Kila siku saa moja na dakika 20 wana kipindi cha matukio asubuhi na jioni muda huo huo. I am not trying to sell them, ila wanajitahidi sana kutafuta wahusika halisi wa matukio. Hapa natoa kile nilichokisikia kutoka kwa DEREVA ALIYEKODIWA NA WAANDISHI WA HABARI kuwapeleka kwenye eneo la tukio (ndimo alimokuwamo marehemu). Dereva huyo amejitambulisha kama John Joseph.

Kwanza kabisa ameanza kwa kusema AMESHUHUDIA KWA MACHO YAKE TUKIO HILI MWANZO HADI KIFO CHA MAREHEMU. Wakati kikao cha ndani kinaendelea ghafla zikafika defender nne za FFU akiwapo OCD. OCD baada ya kuzungumza na viongozi wa CHADEMA na kumweleza kuwa hakuna mkutano wa hadhara akakubali waendelee, FFU wakawa nje. Mara akatokea RPC na gari lake. Yeye alipofika akasema NI AMRI TAWANYIKENI. Wananchi waliokuwapo nje ya ofisi WAKAJISALIMISHA KWA KUKAA CHINI NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. Lakini hiyo isitoshe mabomu ya machozi yakaanza kumiminika kama mvua hovyo hovyo. Waandishi wakarudi kwenye gari lao. Ndipo polisi wakamdaka mwandishi mmoja na kuanza kumpa kipigo kikali. Kuona hivyo, marehumu akashuka kwenye gari akakimbilia kwa RPC aliyekuwa garini akaanza kugonga kioo cha gari kumsihi RPC afungue kioo. RPC akafungua kidogo tu na marehemu akaanza kumsihi kuwa yule waliyemkamata si mfuasi wa CHADEMA bali ni mwandishi wa habari. RPC akamtazama marehemu kwa dharau halafu askari wengine wakamdaka.Ndipo RPC akamgeukia askari mmoja "na kumwambia BOMU". Mara moja ukasikika mlipuko wa kutisha na marehemu akadondoka hapo hapo. Maaskari wengine wakalifuata gari la huyu mr. Joseph na kuanza kuligonga gonga, akalazimika kuondoka kwa kasi sana eneo la tukio kujinusuru.


Habari hii mliosikiliza wapo mtakuwa mmeisikia laivu kuto kwa dereva mwenyewe. Yaani bila kuumauma maneno kasema alimsikia RPC akitamka BOMU kabla ya huo mlipuko kutokea. Hebu sasa fanyeni MAGAZIJUTO!
 
Waliokuwepo kwenye eneo la tukio,wanasema alikwenda kujuwa kulikoni mwandishi mwenzake akamatwe?Ndo wakamshambulia,picha inaonyesha he was begging for his life,hawakujali,wakamlipuwa...hayo ya kusema alikimbilia kwenye vurugu ni ujinga,na ni mwandishi aliyekuwa na kamera yake,wao walikuwa na silaha na walikuwa wengi,walimshambulia na kuamuwa kumlipuwa,picha ziko wazi,sasa hizi pumba zako hawali binadamu hizi.Peleka kwa nguruwe.
 

Hao hao wanaotumwa, nasi tujifanye tumetumwa kuchoma moto nyumba zao. Serikali ya ccm 2015 mwisho wao
 
Naona askari umewashindwa na wanaonekana mitaa yote, nami ni mmoja wao, mlinzi shirikishi, njoo mtaa wa Livingstone na Mafia, Dar., ulizia Mzee Zomba utanikuta, kijiwe kinaitwa Gogovivu.

Wewe ni sawa na yule malikia wa ufaransa aliyesababisha mapinduzi.Wananchi waliandamana kwenda ikulu kulalamika kuwa wanakufa njaa hata mkate hawapati,yeye akawaambia..."kwanini msile keki"?wakamkatata na kumchinjia mbali.Kiukweli wewe si mtanzania mwanachi wa kawaida.Maneno ya kinyama kama haya,aliwahi kuyazungumza Faiza Foxy na kutokea pale akawa adui mkubwa wa wenye kupenda ubinaadam.
 
kikao for what wakat mtu ameshakufa....mke,waqtoto na wazaz wa marehemu wanateseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…