Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Kwako wewe ni michezo ya kitoto kwa sababu hujui mikakati ya kisiasa ya ku win popularity haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.Tume ya taifa ya uchaguzi haifanyi hiyo michezo ya kitoto
Wana CCM ni wepesi sana wa kusahau! Mtaumbuka kesho.Kesho ni sikukuu ya nane nane nani atawalipa over time watumishi wa NEC?
Weaktokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very week, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma.
Tarehe ni validUnatakiwa kuwauliza NEC walivyoiweka Tarehe 8 kama moja ya tarehe za kuchukua fomu hawakudhani kama itakuwa Public Holiday??? Swali lako lazima lianzie NEC na si Chadema.
Hawa jamaa wanakwama kwenye strategy....tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very week, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma.
Ushahidi huu hapa. Tangazo la tume pa siku za kutoa Fomu ya Uraisi.Ushahidi wa NEC kuiweka hiyo tarehe upo wapi ?
Chadema mnapenda chokochoko, mkifinywa mnakimbilia kusema kwa mabeberu
Badala ya kujadili ngoja nicheke. Kwi-kwi-kwi-kwi-kwi-kwi. Hata natokwa na machozi kwa sababu ya kucheka. Kwi-kwi-kwi-kwi-kwi-kwi.Kwako wewe ni michezo ya kitoto kwa sababu hujui mikakati ya kisiasa ya ku win popularity haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.
Tulia matokeo utayaona
Ushahid Chadema kuchukua fomu 88 tunao, weka ile ushahidi ya ratiba ya tume
Unatakiwa kuwauliza NEC walivyoiweka Tarehe 8 kama moja ya tarehe za kuchukua fomu hawakudhani kama itakuwa Public Holiday??? Swali lako lazima lianzie NEC na si Chadema.
NYC ni wakina nan?Kura huwa hupigwa Jumapili, hii inamaana NYC hawana holiday
Nafahamu Tume wanaweza kupanga kufanya shughuli zao hata siku ambazo ni za sikukuu, ila huwa wanatoa ratiba mapema na ndio maana nimesema, kama ratiba ipo inayoonyesha kesho NEC watafungua ofisi,basi itolewe hadharani mapema ili lolote likitokea,basi CHADEMA wasilaumiwe.Kura huwa hupigwa Jumapili, hii inamaana NYC hawana holiday
Ume comment kana kwamba unajua kumbe unaungua jua ...ratiba ya uchukuaji fomu ya mgombea imeangukia cku hiyo ...na ikifika kipindi Cha uchaguzi NEC huwa hawana sikukuu wala J2tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma.
Wewe ndio umekurupuka mkuu ... chadema iko sahihi maana wanachukua kwa ratiba za NEC na si vinginevyo ...muwe mnauliza kuliko kuja hapa na kujifanya mnajua kila kituKwenye hili Chadema kwa namna yoyote wameonesha ni watu wa kukurupuka
Hii ni popularity inayojengwa taswira mbovuKwako wewe ni michezo ya kitoto kwa sababu hujui mikakati ya kisiasa ya ku win popularity haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.
Tulia matokeo utayaona
kwa hiyo ofisi za NEC hazihusiki na public holiday ?Ww ndo umekurupuka mkuu .. chadema iko sahihi maana wanachukua kwa ratiba za NEC na si vinginevyo ...muwe mnauliza kuliko kuja hapa na kujifanya mnajua kila kitu
Nadhani akili yako haina akili kama sio unafanya makusudi. Wanaposema kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani wanamaanisha kwenye izo siku zote wako available. So hapo kuanzia tarehe 5 hadi 25 zote ni siku za kuchukua fomu.Ni wapi NEC wameiweka tarehe kama moja ya siku za kuchukua fomu?
Tumia akili japo kidogo, kama unazo... NEC wametoa muda kuanzia tarehe X hadi Y na haikufanyi wewe ukaenda pale Jumamosi au hata usiku ilimradi ni ndani ya muda!