Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

Kumbe na ww ni wa hovyo eee ..kesho njoo na upimbi wako mwingine bc kuhusu fomu ..maana Nina uhakika tutapewa na hakutakuwa na longo longo yyte
Sina nia mbaya
Nachotaka kuelewa ni usahihi wa hilo zoezi la kesho
 
Hata zikiwa siku za kazi mbona hao NEC washafunga ofisi na wagombea wakakosa mtu wa kuzipokea.

Watu washanyimwa viapo na mambo kadhaa ya kukarahisha.

NEC ccm ni ya hovyo sana.
 
Kwa hili wa Kulaumiwa kabisa watakuwa ni NEC kwani walijua kabisa tarehe 8 ni 'Public Holiday' kwanini waliiweka hiyo tarehe katika Ratiba zao?
 
Sijui ratiba ya NEC ya kila siku ila siku za kazi zinajulikana, kwa hoja yako hapo (available) kwa vile hawakutaja muda basi unaweza kwenda hata usiku kuchukua fomu!!
Mkuu achana na hao mafala, hawaelewi maana ya public holiday. Ngoja wajazane ujinga kesho waende waambulie patupu.
 
Wewe jamaa acha kushupaza shingo, kesho sikukuu ya kitaifa hakuna ofisi ya serikali inafunguliwa CHADEMA wamejichanganya. Kwa akili yako sikukuu ya Iddi ingedondokea Kati 5 - 25 August NEC wangeingia kazini?, Mnatetea ujinga hadi mnakera. Si ajabu unaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii.
 
Wanataka wafike ofisini wasikute watu waanze kulalamika ikitokea hivyo hatutawasikiliza na tutawaona ni wapumbavu.
 
Mbona watu mnapenda kujazana ujinga?
 
Hiyo tarehe imewekwa wapi? Nyie watu akili hamna??
Kwa hili wa Kulaumiwa kabisa watakuwa ni NEC kwani walijua kabisa tarehe 8 ni 'Public Holiday' kwanini waliiweka hiyo tarehe katika Ratiba zao?
 
Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi sijui kesho atajifichavchini ya meza kama wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka jana.
 
Kwa hili wa Kulaumiwa kabisa watakuwa ni NEC kwani walijua kabisa tarehe 8 ni 'Public Holiday' kwanini waliiweka hiyo tarehe katika Ratiba zao?
Na mpaka leo wako kimya, hivyo ikitokea kesho hawafungui ofisi,ni wazi watakuwa wamedhamiria.
 
Correct
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…