Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwenye tangazo Lao walisema endapo kuna sikukuu kwenye hizo siku hawatafanya kazi??? Hakunaga automatically kwenye issue za kisheria na press release .Wewe jamaa acha kushupaza shingo, kesho sikukuu ya kitaifa hakuna ofisi ya serikali inafunguliwa CHADEMA wamejichanganya. Kwa akili yako sikukuu ya Iddi ingedondokea Kati 5 - 25 August NEC wangeingia kazini?, Mnatetea ujinga hadi mnakera. Si ajabu unaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii.
mara ooh wamekurupuka leo ni public holiday
mara ooh wanataka wakute ofisi zimefungwa ili wapate kiki
msiwe mnajifanya kujua kila kitu, Chadema ni taasisi imara ikiwa na wanasheria nguli walioshindikana mahakama zote za Tanzania mpaka risasi zaliwashindwa
halafu msiwe mnamfananisha Lisu na vitu vya kijingajinga
Lisu for Presdent 2020
Ni upuuzi kuamini kama hawakuwa wanajua ilikuwa public holiday..lundo la watu wote chadema kweli wafanye kosa kama hilo.Inaonekana walivyosema hivyo, ukanywea, ukajiuliza....ilikuwa rahisi kwa CDM kutolea ufafanuzi, maana hata wewe ulikuwa haujui
Imekuwa mambo mazuri, ndio umetoka ndani unapiga mbinja
Hao waliosema yale na wewe wote akili sawa tu kipindi kile
Bisha
Watu wanamchukulia poa sana Lissu. Ila itoshe kusema kwamba huyu mtu Mungu kamuandaa kweli na anaenda kumpa uongozi w hii nchi hapo October 2020.Nasisitiza; MSIWE MNAMFANANISHA LISU NA VITU VYA KIJINGA!!
Kwa hili nawatetea Chadema. Siamini kama walikuwa hawajui kuwa Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi zilikuwa wazi. Kuna circumstances zinaelezea ofisi kuwa wazi hata kama ni public holiday. Mfano, mitihani yote ya taifa, ya darasa la nne na saba; form two, four na six ratiba zake huwa zinasema mitihani itaendelea 'even if they fall in public holidays'. Nafikiri na tume ina huu utaratibu kwenye zoezi hili.Tokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma
Haya mbwekaji wa CCM na Chadema nani Yuko weak? Jee wamechukua form hawajachukua? Aibu yako na bosi wako ChakubangaTokea walipotangaza tarehe 8 mwezi wa 8 ndio wataenda kuchuka fomu nikajua fika kabisa hiki chama menejiment yao iko very weak, 88 ni public holday na ofisi ya tume ni ofisi ya umma
Form imetoka haikutoka?Tomorrow is a public holiday
Wewe ndiye mkurupukajiKwenye hili Chadema kwa namna yoyote wameonesha ni watu wa kukurupuka
Njoo tena ubwekeHawa jamaa wanakwama kwenye strategy....
Hawana mipango madhubuti zaidi ya kelele
Na ndivyo watakavyoangukia pua
Kwahio leo NEC wamefanya hio michezo eegh? ShitTume ya taifa ya uchaguzi haifanyi hiyo michezo ya kitoto
Umeamini sasa kuwa wewe ni mwepesi? Maneno mengi kumbe hujui kituKesho ni sikukuu ya nane nane nani atawalipa over time watumishi wa NEC?
Haya umbea wote umekuisha sasa leo! Au unadhani fomu kachukulia kwenye banda la nanenane??Ushahidi wa NEC kuiweka hiyo tarehe upo wapi ?
Chadema mnapenda chokochoko, mkifinywa mnakimbilia kusema kwa mabeberu
Wewe ndiye kilaza kuliko wote umekaza shingo angalia aibu iliyokujutaHawa chadema wa mitandaoni hawana tofauti na wale vilaza wa Lumumba buku7
Wewe ndiye umekuwa fala tena fala kweli kweliMkuu achana na hao mafala, hawaelewi maana ya public holiday. Ngoja wajazane ujinga kesho waende waambulie patupu.