Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
MPUMBAVU ni nani?
Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist
Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.
Mnajenga taifa litakalo kuwa na watu katili sana baadae, na mnafaham sana udhaifu mlio nao. Be human, stop this ugly politics. Everything has a replica, wajengeeni watu tabia, few years you will see how the public may turn and torn you. Review your thinking machinery..MPUMBAVU ni nani?
Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist
Wakishatakiwa mtalia lia mnasema mnaonewa tumieni wembe ule ule.
Usihangaike na huyo mtu duniTafsiri yako ya MPUMBAVU umeipata wapi? Mimi yangu ni hii hapa:-
MPUMBAVU NI YULE ANAYEWAZA KWAMBA "HAKUNA MUNGU",. MTU MUONEZI ATESAYE WATU KWA NAMNA ISIYO KWELI AKIJIFARIJI KWAMBA HAKUNA MTU WA KUMFANYA LOLOTE.
Zaburi 14:1 Wapumbavu hujisemea moyoni: βHakuna Mungu.β
Mungu mwenye enzi anasema.
4 βJe, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mwenyezi-Mungu.β
5 Hapo watashikwa na hofu kubwa, maana Mungu yu pamoja na waadilifu. 6Unaweza kuvuruga mipango ya maskini, lakini Mwenyezi-Mungu ndiye kimbilio lake.
Wewe unaamini katika moyo wako kwamba yuko Mungu awateteaye wanaoonewa?
Mahabusu kuna masufuria kumbe[emoji23][emoji23][emoji23] Ahh nmecheka kinoma kama vile umenisifia [emoji23][emoji23][emoji23]
Labla ww ni wa kishua ndo mana huijui njaa, ww subiri siku kadhaa kama hujasikia 'wale waliogoma kula wamekutwa wakilamba masufuria jikoni usiku wa manane'
Masikini wengi wanadhani kula ni maishaYaani wasile usiku na mchana kwa siku tatu tu yaani masaa sabini na mbili ndo wataijua njaa ilivyo wanatishia nyau tu
hujui kituAcha magaidi yagome tu
Hakuna masufuria.Mahabusu kuna masufuria kumbe
Una njaa wewe mbwa koko wa upareni. Punda jike wewe.πππ Ahh nmecheka kinoma kama vile umenisifia πππ
Labla ww ni wa kishua ndo mana huijui njaa, ww subiri siku kadhaa kama hujasikia 'wale waliogoma kula wamekutwa wakilamba masufuria jikoni usiku wa manane'
Sirro atakufa kifo kobaya sana, namchukia sana.Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
View attachment 1884601
Chadema taratibu mtaelewa show tuuUna njaa wewe mbwa koko wa upareni. Punda jike wewe.
Huna maana ngedesi wewe.Chadema taratibu mtaelewa show tuu
Namuona Salim Ahmed Salim kwa nyuma. JK alikuwa muungwana no doubt!
hakuna show yoyote , hivi Mchengerwa ndio wa kuitisha Chadema !Chadema taratibu mtaelewa show tuu