Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

Hivi unaogopa kivuli cha wanasiasa wewe una jeshi polisi tiss takukuru etc una wasi gani achia watu wafanye siasa
Sindio wamewakamata au unasemaje?


USSR
 
Waumizwe kwa kufanya kosa gani? Unataka kuhalalisha watu kupigwa ili kuwatia hofu huku wakiwa hawana kosa lolote?
Mbona wewe hukushiriki mkuu? Ili wakunyonge makende yako??!!
 
Hawaijui njaa hao, wakae siku mbili bila kula ndo watajua moto wake. Chadema acheni kumtishia mtu mzima nyau.
Hamtaki kula halafu viongozi wenu huko USA wana-slide kwenye snow tuu
Wewe ndio ulijidai huna chama? Kwa nini mnaona aibu kujitambulisha kuwa ni mashabiki wa chama tawala?

Amandla...
 
Swali gumu hapa ni nani siyo mstaarabu?
Aliyesema nipeni muda kuhusu suala la katiba mpya, au aliyesema hatutasubiri tunaanza mapambano sasa.

Mama alianza kwa kuwapa uwanja upinzani kufanya siasa na wamefanya bila usumbufu wowote, mbowe kazunguka nchi nzima.

Kwanini wasimwamini japo hata kwa mwaka mmoja tu kuona anachukua hatua gani kuendeleza hoja ya katiba mpya?

Nionavyo mimi hii ni dharau kwa mama. Kawapa uhuru wa kukusanyika na kuwaachia mahabusu kwa lengo la kupunguza kelele za mbinyo wa demokrasia.

Badala ya kumpa ushirikiano, wanamkejeli.

Chadema hakuna kiongozi wala mwanachama mstaarabu. Kibaya zaidi wanachama wanatumika kutengeneza matukio kwa manufaa ya viongozi.

Poleni, huo ushindi mnaoutengaza kumshinda mwendazake mnajidanganya. Mtakesha bila faida.
 
Mbona wewe hukushiriki mkuu? Ili wakunyonge makende yako??!!
Ijumaa nilikuwepo vizuri sana wakatuzuia hata kusogelea mahakamani. Polisi mmoja najuana naye nikamuuliza kuhusu kumkamata yule aliyejiunganishia bomba la mafuta, akasema IGP anajua hizo habari zake. Ila aliniasa sana kuwa nisisogee mbele zaidi jamaa wamepewa maagizo hatarishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…