Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

Ndipo hapo nipo chukia ushabiki wa kisiasa.
We uko jela, viongozi wako sebuleni wanaendelea ku tweet.

Haya sasa wagomee kula tuone kitacho wakuta.
 
Kwa hiyo ukatii sheria bila shuruti au?
 
Wewe ndio ulijidai huna chama? Kwa nini mnaona aibu kujitambulisha kuwa ni mashabiki wa chama tawala?

Amandla...
Kuna comments zangu nyingi kwenye uzi mbalimbali nilikuwa namponda Samia Suluhu, kwenye ujinga nitasema tuu hata kama n kweli sina chama. Chadema mnafanya upuuzi ndo nisiseme.?
 
Mlivyosema hatupo tayari kumpa muda rais kuhusu katiba maana yake ni kuwa watapambana nae. Mlikuwa mnadhani tulieni tu.
Mpaka Sasa tunapambana naye na Kama aishivyo Bwana, atashindwa. Stay tuned.
 
Wawaache sku tatu afu wawapelekee kuku lost uone watakavyofakamia kama mbwa😂😂
 
Mi sio mwanachama wa Chadea, ccm wala ndg zao. Mi ni mwanachi tu
 
Kuna comments zangu nyingi kwenye uzi mbalimbali nilikuwa namponda Samia Suluhu, kwenye ujinga nitasema tuu hata kama n kweli sina chama. Chadema mnafanya upuuzi ndo nisiseme.?
Kumponda Samia hakuna maana wewe sio shabaki wa chama chake. Hamna mtu anayekukataza kuisema Chadema. Kuna kuikosoa kinadharia na kuikosoa kishabiki. Wewe ukosoaji wako ni wa kishabiki. Ni haki yako kufanya hivyo. Ninachoshangaa ni unapoukana ushabiki wako.

Amandla...
 
Hongera kwa kunijua kuliko mm navojijua
 
Hawaijui njaa hao, wakae siku mbili bila kula ndo watajua moto wake. Chadema acheni kumtishia mtu mzima nyau.
Hamtaki kula halafu viongozi wenu huko USA wana-slide kwenye snow tuu
Wape muda wakipata njaa wataomba msosi wenyewe pumbavu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…