Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki.
Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la kujadili.
raisi samia na vyombo vya dola kukuza mambo kwamba madai ya viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki ni vurugu na uchochezi, sijui viongozi wa dini wanaingilia siasa ni kujaribu kukwepa hoja ya kuwepo kwa uchaguzi huru na wa haki. kwani mabadiliko ya kiuchaguzi ni ukombozi dhidi ya watu wenye tamaa za madaraka.