johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwacheni Mwamba aanze kujitetea Ijumaa!Imesikiliza kesi isiyokuwa yenyewe kwenye mahakama isiyokuwa na uwezo wa kusikiliza shauri Hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni Mwamba aanze kujitetea Ijumaa!Imesikiliza kesi isiyokuwa yenyewe kwenye mahakama isiyokuwa na uwezo wa kusikiliza shauri Hilo.
Hata nikibaki nimesimama peke yangu bado naamini haya ni maigizo ili ionekane Mbowe kasamehewa na Samia.Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii .
View attachment 2136460
=======
VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE
Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake
Wametoa rai hiyo leo Machi 2, 2022 walipokutana na Rais wa Tanzania, Samia Suhulu Hassan Ikulu Dar es Salaam. Katika Mkutano huo, Viongozi hao wa Dini mbalimbali pia wamependekeza kuwe na Mjadala mpana kuhusu Mfumo mpya wa Elimu utakaokidhi mahitaji ya sasa
View attachment 2136462
Haya yanabaki maoni sahihi hata nikiahikiwa Bunduki.Taarifa rasmi ya ikulu imesema hivyo. Kuna yafiatayo;
1. Samia amekosa jinsi ya kumuachia Mbowe kaona awatumie viongozi wa dini baada ya ile ya KIBARAKA (ZUBERI) ku backfire.
2. Mbinyo umekuwa mkubwa lakini Samia anaona aibu baada ya kuropoka BBC.
Akikubali nitashangaa sana!K
Kwa mjibu was criminal procedure Act RE 2019
Kwa sababu tumeshausikiliza upande wa akina Swila ni vema taifa likamsikia na Mbowe piaHata nikibaki nimesimama peke yangu bado naamini haya ni maigizo ili ionekane Mbowe kasamehewa na Samia.
ningependa ile nahau/methali itimie..."asiyesikia na mkuu........"Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii...
kiwango chao cha kujua sheria ni kama cha waliochonga kesi, ni vile wachonga kesi walipata mpenyo tu wa kuwa polisi.....nchi ya mauzauza hiiAkikubali nitashangaa sana!
Hao viongozi wa dini wanajua sheria lakini?
Askofu Shao ni mlezi wa CHADEMA; Bagonza alikuwa campaign Manager wa Tundu Lissu openly uchaguzi 2020. Kuna mashehe 400 wako gerezani (taarifa za Chadema hizo) kwa nini wasingewaombea kufuta kesi? That was the real purpose of the visit. Kuchanganya dini na siasa ndiyo huku, wanampima Mama.Hawa Viongozi Macho Yao Wameiona Kesi moja tu Mahakamani? Mbona ipo mikesi mingi tu Wameifumbia Macho..!
Wajikite Kumtangaza Mungu , haya mambo Sijui futa Kesi Ya Sabaya ,Sijui futa Kesi Ya Mbowe Waachane nayo...!
Suala sio Mahakama Ina kazi gani, Bali hata mbuzi wanaozurura mtaani Wana jua ile kesi Ni kanyaboya. Mbowe sio gaidi.Mahakama ina kazi gani sasa kwa mujibu wa katiba ya JMT?
Hao viongozi wa dini wamelewa mvinyo!
Ndio tunataka case iishie mahakamani tuwasikie kina adamooSi mlisema asiachiwe mpaka ajue kosa lake, sasa haya maombi ya kuachiwa bila kujua kosa yametoka wapi? Mbowe angoje mahakama iamue kama anakosa basi itamwambia kosa lake na kama hana basi itamwachia huru.
Ufipa ufipa ufipa Acheni mnachotumiaMahakama kwenye hii kesi imeyumba ndio maana wanaomba aiingile kati.
Ukisha kuwa verified member lazima uwe "takataka" katika reasoning and intergration of issuesKichwa cha Habari WAMEMSHAURI
Habari halisi WAMEMWOMBA...
Hakuna kiongozi wa dini hapa, hayupo. Watu na akili zao eti wanamwimbia HBD Rais, wamepatwa na nini hawa wajasilia dini! Yesu na mtume hawajawahi kuwaimbia hivyo! Leo wanamwimbia binadamu , watu na heshima zao!Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii .
View attachment 2136460
=======
VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE
Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake
Wametoa rai hiyo leo Machi 2, 2022 walipokutana na Rais wa Tanzania, Samia Suhulu Hassan Ikulu Dar es Salaam. Katika Mkutano huo, Viongozi hao wa Dini mbalimbali pia wamependekeza kuwe na Mjadala mpana kuhusu Mfumo mpya wa Elimu utakaokidhi mahitaji ya sasa
View attachment 2136462
Kwahiyo serikali iachane na hayo maombi ya viongozi wa dini si ndio?Ndio tunataka case iishie mahakamani tuwasikie kina adamoo
shekh ubwabwa, takataka tupu!Ni utapiamlo wa akili kuamini kuwa Tanzania ina viongozi wa dini.
Huyu hapa ni hao unaodai kuwa ni viongozi wa dini akidai kuwa Magufuli ni mkubwa kuliko Mungu,Yesu na mtume Mohamad enzi za uhai wa Magufuli.
View attachment 2136477