Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ''viongozi wa dini'' wametumiwa kama daraja. Huu umekuwa ni utamaduni wa Tanzania. Wengi hapa ni wachumia tumbo tu na hawawezi kumueleza rais kiini hasa cha matatizo ya nchi yetu. Hilo la kusema elimu kufumuliwa ni kweli lakini hata ikifumuliwa bila mfumo mzima wa utawala kusukwa upya ni bure. Cha kuanza nacho ni mfumo wa utawala kwanza ndiyo mengine yafuatie.Hapo viongozi wa dini ni wawili tu nyingine ni TAKATAKA
Hakika, naamini hapo Bagonza na Dr Shoo hawakumumunya maneno...Hawa ''viongozi wa dini'' wametumiwa kama daraja. Huu umekuwa ni utamaduni wa Tanzania. Wengi hapa ni wachumia tumbo tu na hawawezi kumueleza rais kiini hasa cha matatizo ya nchi yetu. Hilo la kusema elimu kufumuliwa ni kweli lakini hata ikifumuliwa bila mfumo mzima wa utawala kusukwa upya ni bure. Cha kuanza nacho ni mfumo wa utawala kwanza ndiyo mengine yafuatie.
Hivi ingekuwa mama yako ameshikishwa ukuta ungekuja na huu utopolo?Hawa Viongozi Macho Yao Wameiona Kesi moja tu Mahakamani? Mbona ipo mikesi mingi tu Wameifumbia Macho..!
Wajikite Kumtangaza Mungu , haya mambo Sijui futa Kesi Ya Sabaya ,Sijui futa Kesi Ya
Hapo takataka ni yule jamaa mfupi sana wa kule kwa akina shomile na yule wa Arusho bwana shodoHapo viongozi wa dini ni wawili tu nyingine ni TAKATAKA
Atakuwa shoo au bagonza,Huyo kiongozi wa dini aliye ongea hivyo either hajitambui au ameamua kumtega Mhe. Rais.
Kweli kabisa kesi iko Mahakamani halafu bila aibu anajitokeza kiongozi wa dini eti....Rais atumie busara amwachie huyu Gaidi Mbowe?!
Sasa na sisi wananchi tunasema tunataka afungwe ili iwe fundisho kwa wahalifu wengine.
Endapo Mbowe atasamehewa basi tufahamu kuwa tutakuwa tumeharibu kabisa utawala wa sheria nchini......kwa sasa ni Mbora Mbowe afungwe kama atapatikana na hatia kuliko kuachiwa huru.
Kwa kinyume nyume nafurahi umenielewa.Hapo takataka ni yule jamaa mfupi sana wa kule kwa akina shomile na yule wa Arusho bwana shodo
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Maaskofu RC hawaonekani kwenye picha ?
Wewe huwa na kwambia kanisani kwetu huwa unakuja kufanya ushirikina.Kanisa langu la SDA bora lingekufukuza.Imagine kanisa yupo mtu mshirikina kama wewe unayeweka tumaini la maisha yako LUMUMBA halafu una roho za uuaji Kuna ushirikina zaidi ya huuHuyo kiongozi wa dini aliye ongea hivyo either hajitambui au ameamua kumtega Mhe. Rais.
Kweli kabisa kesi iko Mahakamani halafu bila aibu anajitokeza kiongozi wa dini eti....Rais atumie busara amwachie huyu Gaidi Mbowe?!
Sasa na sisi wananchi tunasema tunataka afungwe ili iwe fundisho kwa wahalifu wengine.
Endapo Mbowe atasamehewa basi tufahamu kuwa tutakuwa tumeharibu kabisa utawala wa sheria nchini......kwa sasa ni Mbora Mbowe afungwe kama atapatikana na hatia kuliko kuachiwa huru.
huyo kiongozi wa dini aliye tamka neno hilo hana nia njema, ni mnafiki na mzandiki......aliye kosa aibu, apuuzwe....ni wazi kabisa katumwa na wafuasi wa Gaidi.
Hapana, Rais haingilii muhimili wa mahakama,serekali ndio waliopeleka kesi ndio wenye kesi kwa hiyo serekali wanaweza wakaiondowa kama walivyopeleka kwa kuwa ni kesi yao.Kwamba Rais aingilie muhimili wa mahakama au sijaelewa vizuri?
RAIS anafutaje kesi ya Mbowe stupid wahiiid!!Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii .
View attachment 2136460
=======
VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE
Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake
Wametoa rai hiyo leo Machi 2, 2022 walipokutana na Rais wa Tanzania, Samia Suhulu Hassan Ikulu Dar es Salaam. Katika Mkutano huo, Viongozi hao wa Dini mbalimbali pia wamependekeza kuwe na Mjadala mpana kuhusu Mfumo mpya wa Elimu utakaokidhi mahitaji ya sasa
View attachment 2136462
wamewakilishwa na sheikh wa darMaaskofu RC hawaonekani kwenye picha ?
Kwamba Rais aingilie muhimili wa mahakama au sijaelewa vizuri?