Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

Kichwa cha Habari WAMEMSHAURI

Habari halisi WAMEMWOMBA

Kwani ukisema Rais Ameombwa unaona kama utampa credit Rais?

mwisho: Mh Rais Alishasema; suala hili kwa kuwa lipo Mahakamani si busara kulisemea.

Tuwe na imani na Mahakama yetu na itatenda haki.
Siku nyingine ni bora kukaa kimya kuficha ujinga wako.
 
i .

Wakati_Mwenyekiti_wa_Chadema_na_wenzake_watatu_wakianza_kujitetea_Ijumaa_Machi_4%2C_2022_katik...jpg


=======

Huyo wa kushoto si ni magufuli mzee?? Au ni ndugu yake walipotezana
 
Kwa sababu tumeshausikiliza upande wa akina Swila ni vema taifa likamsikia na Mbowe pia
Na ndicho kinachoenda kufanyika. Kesi hii haiondolewi bila utetezi kukamilisha utetezi wao. Hukumu itatokana na mnyukano wa mashahidi wa pande zote. Ni muhimu utetezi ufanye ili tujue mbivu na mbichi
 
Kwahiyo serikali iachane na hayo maombi ya viongozi wa dini si ndio?
Ndiyo, hayana maana kwa sasa. Lazima utetezi ufanywe ili hukumu isimamie kwenye hoja za kisheria zilizopambaniwa
 
Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii .

View attachment 2136460

=======

VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE

Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na wenzake

Wametoa rai hiyo leo Machi 2, 2022 walipokutana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ikulu Dar es Salaam. Katika Mkutano huo, Viongozi hao wa Dini mbalimbali pia wamependekeza kuwe na Mjadala mpana kuhusu Mfumo mpya wa Elimu utakaokidhi mahitaji ya sasa

View attachment 2136462

Mbinyo mbinyo chanya. Nitashangaa serikali hii kutotumia kauli hii ya viongozi wa Dini / Imani kama daraja la kutokea upande wa pili la daraja ambapo watakuta nchi ya ahadi iitwayo Umoja wa Taifa la Tanzania.

Serikali kuwa sikivu ni pamoja na kukubaliana na ushauri wa viongozi hawa wa Kiroho wenye wafuasi wengi ndani ya Taifa letu kuwa sasa serikali hii ivuke daraja toka upande wa awamu ya tano na kwenda upande wa pili wa awamu ya sita.

Uvukaji huu wa daraja utahesabiwa kama rasmi sasa awamu ya sita inajisimamia yenyewe na kuanza kujijengea legacy yake.
 
2 Mrach 2022

Viongozi wa Dini Watinga Ikulu Wamwomba Rais Samia Kumaliza Kesi ya Mbowe

 
02 March 2022

Khabari hii ni Kwa hisani kubwa ya Mzee Mohamed Said wa JF :


MAGAIDI'' WAENDELEA KUACHIWA VIPI HAWAKUWA MAGAIDI WA KWELI?


Waislam watatu wamekufa jela.

Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

02/03/2022

ARUSHA: MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP) AWAFUTIA TUHUMA ZA UGAIDI WAISLAMU 28.

Waislamu hao ambao jumla yao ni 59, wamefutiwa mashtaka tarehe 25.2.22 na 1.3.22. Kwa hatua hiyo waliobaki gerezani ni 31. Waliofutiwa mashtaka ni:

1.Mohammed Said Ansi (hambal)
2.Abdallah Abdurahman kimolo
3.Yunus salimu msuta
4.Abdurahman Abubakar Gotcha (kamzuzu)
5.Hamad Issa Sigh
6.Masumai Fadhili
7.Sadiki Hussein
8.Ismail Juma
9.Bahari Lazaro
10.Abdurazaq Muhammad
11.Muhammad Said Omary
12.Yassin Mohamed
13. Said Omary Said
14. Sudi Nasibu Rusuma
15. Athuman Mmasa
16. Shabani Mmasa
17. Abdula'ziz Shabani Mkindi
18. Mustafa Mohamed Kihago
19. Mohamed Nuru
20. Maka Sudi Gewa
21. Swalehe Khamis
22. Kimolo Issa mshana
23. Abdallah Juma (mayaula)
24. Abdallah Yassin
25. Marijani Charles (mswahili)
26. Khalidi Shabani Mahami
27. Juma Suleiman Nguli
28. Idd Ramadan Yusufu

Watatu miongoni mwao walifariki dunia wakiwa mahabusu.

Wamekaa gerezani kwa zaidi ya miaka saba kwa sababu ya upande wa serikali kukosa ushahidi.

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

The Prevention of Terrorism Act is fraught with legal defects.[10] It is beyond the scope of this paper to go into all the shortcomings.

Suffice to say that the act curbs democracy, free association, exchange of information, the right to own property, etc.

There are also sections, which give the Minister of Home Affairs undue powers to declare any person a ‘terrorist’ on mere suspicion.

In a country where the Church controls the government, one can only imagine the dangers facing Islam.

The law empowers the Minister to freeze bank accounts of any suspected ‘terrorist organisation’ or individual. Nowhere is the law frightening than in part V 28 (6). This section deserves special mention.

It stipulates that:

A police officer who uses such force as may be necessary for any purpose, in accordance with this Act, shall not be liable, in any criminal or civil proceedings, for having, by the use of force, caused injury or death to any person or damage to or loss of any property.

Muslims were concerned because the parliament was being manipulated by a foreign power in partnership with the Christian lobby to legitimise oppression against them.

It was now legitimate to kill ‘Muslim fundamentalists’ or suspected ‘terrorists’ on mere suspicion.

There were many good reasons for Muslims to register concern. There had been incidences in the past where state organs have used excessive force against Muslims resulting into deaths of Muslims.

The act in a multi racial society like Tanzania incites racial and religious hatred against Muslims particularly those not of black African origin.

The Act managed to fan fear and hatred against Muslims whipping up a frenzy of Islamophobia in the country.

The smoke bombing of mosques and mass arrests of sheikhs over the years, were one of the means of intimidating Muslims and rescuing the Church from its predicament.[11]

What was there to prevent state organs from applying the Act in subverting Islam?

Source :
 
Kuna mashehe 400 wako gerezani (taarifa za Chadema hizo) kwa nini wasingewaombea kufuta kesi? That was the real purpose of the visit. Kuchanganya

Habari za jana tarehe 1 March 2022 za uhakika ni kuwa kundi jingine la Masheikh washukiwa wa kesi ya ugaidi wameachiwa :

 
Habari za jana tarehe 1 March 2022 za uhakika ni kuwa kundi jingine la Masheikh washukiwa wa kesi ya ugaidi wameachiwa :


Toka Maktaba :
03 September 2020


CHADEMA walipiga kelele sana kuhusu haki za masheikh :

KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2020, CHADEMA WALISIMAMA KIDETE KUTETEA HAKI ZA WATANZANIA

Tundu Lissu : Masheikh wa Uamusho, wapo magerezani mwaka wa sita kwa tuhuma za uongo za ugaidi


 
Toka maktaba :

KESI YA UGAIDI NAMBA 16 YA MWAKA 2021 INAYOMTUHUMU MBOWE NA WENZIE WATATU, IMEFIKIA PATAMU.

Kesi ya Freeman Mbowe inashabiana na kesi ya maarufu ya Nelson Mandela iliyojulikana kama kesi ya Rivonia, ambapo ilipelekea dunia nzima kufahamu maovu ya utawala wa kibaguzi wa Afrika ya Kusini na ulimwengu kuanza kuingalia Afrika ya Kusini kama nchi yenye matatizo.

Tanzania nayo kesi hii namba 16 ya mwaka 2021 ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzie watatu tayari imekuwa gumzo jinsi vyombo vya dola vinavyofanya kazi inayozua maswali mengi sana, tuendelee kusikiliza kesi hii mpaka tamati yake na je itaifanya Tanzania mpya kuzaliwa kama Afrika ya Kusini mpya The Rivonia Trial: The Landmark Event that Changed South Africa Forever - Google Arts & Culture kupatikana kwa rais Frederik Willem de Klerk kuongoza mabadiliko na Afrika ya Kusini mwaka 1994 kumpata kiongozi wa utawala mpya usio na ubaguzi chini ya rais Nelson Mandela huku aliyekuwa rais wa mwisho wa utawala wa wachache weupe Frederik Willem de Klerk akiwa makamu wa rais ?
Under the interim constitution (valid from 1994 to 1996), there was a Government of National Unity, in which a member of parliament from the largest opposition party was entitled to a position as deputy president. Along with Mbeki, the previous state president, F. W. de Klerk also served as deputy president in his capacity as the leader of the National Party, then the second-largest party in the new Parliament. De Klerk later resigned and went into opposition with his party. A voluntary coalition government continues to exist under the new constitution (adopted in 1996), although there have been no appointments of opposition politicians to the post of deputy president.

Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa


Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria

In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.

For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.

In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.




Often referred to as "the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.

READ MORE Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online

Nelson Mandela: The Rivonia Trial​


The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarity films
 
Wanachanganya dini na siasa hawa,
Ila kwa kuwa serikali imependa basi kimyaaaa,
Ngoja sasa iwe hawapendi uone utakavyosakamwa ooooh hakuna kuchanganya dini na siasa,
Viongozi wa dini wa tanzania mujipime kwanza kabla hamjapimwa
 
Hawa Viongozi Macho Yao Wameiona Kesi moja tu Mahakamani? Mbona ipo mikesi mingi tu Wameifumbia Macho..!
Wajikite Kumtangaza Mungu , haya mambo Sijui futa Kesi Ya Sabaya ,Sijui futa Kesi Ya Mbowe Waachane nayo...!

Hii kesi watu wamejua mengi ya mahakamani kutoka na Yule jamaa ambae uwa anaandika humu maswali na majibu ya Shahidi
 
Huyo kiongozi wa dini aliye ongea hivyo either hajitambui au ameamua kumtega Mhe. Rais.

Kweli kabisa kesi iko Mahakamani halafu bila aibu anajitokeza kiongozi wa dini eti....Rais atumie busara amwachie huyu Gaidi Mbowe?!

Sasa na sisi wananchi tunasema tunataka afungwe ili iwe fundisho kwa wahalifu wengine.

Endapo Mbowe atasamehewa basi tufahamu kuwa tutakuwa tumeharibu kabisa utawala wa sheria nchini......kwa sasa ni Mbora Mbowe afungwe kama atapatikana na hatia kuliko kuachiwa huru.

huyo kiongozi wa dini aliye tamka neno hilo hana nia njema, ni mnafiki na mzandiki......aliye kosa aibu, apuuzwe....ni wazi kabisa katumwa na wafuasi wa Gaidi.

kila siku tunamuona Askofu Mwamakula akihudhuria kesi ya Mbowe mahakamani, ni wazi kabisa Askofu huyo ni mwanachama na Mshabiki wa mbowe, sasa amemtuma mwenzie atoe ombi kama hilo mbele ya Rais bila hata aibu!!
We lofa huyo ametumwa na mabosi zako,mbuni wewe
 
Kwenye picha sijamuona sheghe ubwabwa, sheghe aliyediriki kusema mwendakuzimu ni zaidi ya mtume Mohammed.
Huyu sheghe kwa Sasa sijui anamuabudu Nani......
 
Taarifa rasmi ya ikulu imesema hivyo. Kuna yafiatayo;
1. Samia amekosa jinsi ya kumuachia Mbowe kaona awatumie viongozi wa dini baada ya ile ya KIBARAKA (ZUBERI) ku backfire.
2. Mbinyo umekuwa mkubwa lakini Samia anaona aibu baada ya kuropoka BBC.
Alikosea sana BBC siku ile nakujua marhaba ya kulisemea vile kuwa ameshaingilia uhuru mahakama.......sasa amejifunza
 
Kwamba Rais aingilie muhimili wa mahakama au sijaelewa vizuri?

MSIMAMO WA RAIS UWE ULE ULE ; KUTOINGILIA UHURU WA MAHAKAMA !! AKIFANYA HIVYO HUKOMBELE BAADAE HATAPATA TAABU YA MAAMUZI MENGINE!! SHE WOULD HAVE CREATED A PRECEDENT.
 
Back
Top Bottom