Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

Hata nikibaki nimesimama peke yangu bado naamini haya ni maigizo ili ionekane Mbowe kasamehewa na Samia.
 
Hawa Viongozi Macho Yao Wameiona Kesi moja tu Mahakamani? Mbona ipo mikesi mingi tu Wameifumbia Macho..!
Wajikite Kumtangaza Mungu , haya mambo Sijui futa Kesi Ya Sabaya ,Sijui futa Kesi Ya Mbowe Waachane nayo...!
Askofu Shao ni mlezi wa CHADEMA; Bagonza alikuwa campaign Manager wa Tundu Lissu openly uchaguzi 2020. Kuna mashehe 400 wako gerezani (taarifa za Chadema hizo) kwa nini wasingewaombea kufuta kesi? That was the real purpose of the visit. Kuchanganya dini na siasa ndiyo huku, wanampima Mama.
 
Si mlisema asiachiwe mpaka ajue kosa lake, sasa haya maombi ya kuachiwa bila kujua kosa yametoka wapi? Mbowe angoje mahakama iamue kama anakosa basi itamwambia kosa lake na kama hana basi itamwachia huru.
Ndio tunataka case iishie mahakamani tuwasikie kina adamoo
 


Wakati huohuo Viongozi hao wa Dini wametumia Mkutano wao na Rais Samia kuomba Mamlaka husika kutumia busara ili kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili Kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Wenzake.

Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na Viongozi wa Dini mbalimbali ambapo wamejadili masuala ya maendeleo ya Nchi katika kikao kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.

Wakati huo huo viongozi hao wamezungumzi elimu ambapo wamependekeza kuwepo na mjadala mpana kuhusu mfumo mpya utakaokidhi mahitaji ya sasa kwa maana ya kutozalisha Jamii ya Wahitimu walioandaliwa kuajiriwa peke yake.
 
Naona inatafutwa fursa baada ya Zito kupigwa vyuma
 
Hakuna kiongozi wa dini hapa, hayupo. Watu na akili zao eti wanamwimbia HBD Rais, wamepatwa na nini hawa wajasilia dini! Yesu na mtume hawajawahi kuwaimbia hivyo! Leo wanamwimbia binadamu , watu na heshima zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…