Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

Mapadre na Mashee wameshaona maono kuwa Mbowe anaenda kuangukia jela ,na hakuna watu wabaya kama viongozi na makada wa Chadema maana kila inapojaribiwa watu kutaka raisi atoe msamaha kwa Mbowe na wenziwe ,baadhi ya mijiwanachama na viongozi utawasikia asamehewe kwani ana kosa gani ? Hii ni kauli mbaya sana na inaonyesha wazi wanataka Mbowe na wenzake wawe wanasota mahakamani milele, sijui itakuwa kuna faida yeyote wanayoipata kwa Mbowe kuwepo kizuizini.

Kusamehewa sio lazima uwe na kosa hata kama huna kosa inatokea kusamehewa pengine ulikumbwa na upepo pengine katika kamata kamata na wewe ukakamatwa japo huhusiki na watu wakaonyesha ushahidi kuwa ulikuwemo na ulikuwepo ,ilihali hukuwemo wala hukuwepo.
Samia huenda kama raisi anaweza kutoa msamaha katika sherehe za karibuni zinazokuja.
Ila Mbowe akitoka huko ajiunge na chama kingine sio cha hawa wanaotaka akae mahabuswu milele.
 
Nikajua mahakama ishamuhukumu 😂😂 kumbe ni yalikua mawazo tu watu ambao sio sheria!!
 
Nakubaliana nawe.

Viongozi wa CHADEMA wasishinikize, kupitia Jumuiya yoyote (ya kisiasa, dini, nk) Mbowe afutiwe mashtaka. Kufanya hivyo kutamtia Mbowe doa la maisha kisiasa. Waache kesi ikamilishwe na kama hana hatia heshima na hali yake kisiasa itapanda juu
 
Hata kama mahakama hii ya Tz itamtangaza kuwa na hatia, Mboe hatakuwa na doa lolote, kwani wote tunajua kesi ni yamchongo na mahakama yenyewe haipo huru kama inavyo takiwa mahakama kuwa.
 
Hata kama mahakama hii ya Tz itamtangaza kuwa na hatia, Mboe hatakuwa na doa lolote, kwani wote tunajua kesi ni yamchongo na mahakama yenyewe haipo huru kama inavyo takiwa mahakama kuwa.
Chifu Hangaya na Machinery zake wanajua Freeman Mbowe Sio Gaidi! Bali Wamemfungulia Kesi ya Ugaidi Freeman Mbowe kwa influence ya Madaraka ya Kulevya.
 
Hawa Viongozi Macho Yao Wameiona Kesi moja tu Mahakamani? Mbona ipo mikesi mingi tu Wameifumbia Macho.

Wajikite Kumtangaza Mungu , haya mambo Sijui futa Kesi Ya Sabaya ,Sijui futa Kesi Ya Mbowe Waachane nayo.
Dini na siasa utawezaje kuzitenganisha? Dini na siasa zinashughulikia watu hao hao. Viongozi wa dini wanapoona jambo lisilo halali ni wajibu wao kushauri na kuonya.
 
Mahakama ina kazi gani sasa kwa mujibu wa katiba ya JMT?

Hao viongozi wa dini wamelewa mvinyo!
Yohana Mbatizaji.....wewe uliona ubaya wa Mfalme Herode kumuoa mkecwa ndugu take ukamkemea Mfalme, hiyo iligharimu kichwa chako. Leo umesahau huwezi kukemea dhulma! Au ni Yohana Mbatizaji mwingine?
 
Hawa Viongozi Macho Yao Wameiona Kesi moja tu Mahakamani? Mbona ipo mikesi mingi tu Wameifumbia Macho.

Wajikite Kumtangaza Mungu , haya mambo Sijui futa Kesi Ya Sabaya ,Sijui futa Kesi Ya Mbowe Waachane nayo.
Kwani wamesema na ya sabaya?. Atakaesema ifutwe ya sabaya huyo atakuwa amepangwa
 
Mbona sioni hilo kama linatekelezeka. Wamuache afungwe kwanza halafu 26.4 sherehe za Muungano atoke kwa msamaha - hilo ndilo liko chini ya uwezo na mamlaka ya sheria
 
Naona serikali inataka kukwepa aibu pindi Mbowe atakapoanza kujitetea!
Nasikia moja ya kilelezo cha utetezi wa mh. Mbowe ni mkataba wa yeye kukopeshwa shs 1,000,000/= na Urio = kumbe zile hela alizomtumia Urio alikuwa anapunguza deni
 
Yohana Mbatizaji.....wewe uliona ubaya wa Mfalme Herode kumuoa mkecwa ndugu take ukamkemea Mfalme, hiyo iligharimu kichwa chako. Leo umesahau huwezi kukemea dhulma! Au ni Yohana Mbatizaji mwingine?
Viongozi walitakiwa kuongea mwanzo kabisa wa kesi.

Kwa sasa wananchi wana kiu ya kumsikiliza Freeman Mbowe akijitetea!

Huu ndio wakati Yesu alijaribiwa na shetani pale juu ya mlima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…