NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
MkuuHata kama kuna hoja za msingi kwanini hoja hii inapamba moto baada ya mama samia kuwa rais mbona marais wengi wamepita hii hoja haikushamili kama hivi sasa watu hoja zao sijui Tanganyika tunapolwa nchi yetu sijui Zanzibar inaimeza Tanganyika unajua hata kama hoja ya msingi itakosa uungwaji mkono kwasababu mnachagua akiwa rais wa bara kilele za Tanganyika hakuna au mnataka kuaminisha watu akitawala mbara ndio anainyanyua Tanganyika ni hivi hii hoja hili iwe na mashiko inatakiwa iendelee hata kama atatawala m,bara, lakini kama malalamiko haya yatakua akitawala mzenji ndio yanaibuka hoja zenu zitakosa mashiko hata kama zitakuwa za msingi mimi mwenyewe nakubaliana na hoja zenu lakini mnanipa mashaka kama kweli Zanzibar inainyonya Tanganyika au mnamchukia mtawala kwakua anatoka Zanzibar hivi niwaulize kidogo ikitokea rais wa Zanzibar aka agiza watanganyika wauliwe kama mkapa alivyo amrisha wa Zanzibar wauliwe mwaka 2001 baada ya kupora ushindi wa Maalim selfu mwaka 2000 je mngefanyaje acheni kujificha kwenye matembele bado mtaonekana yangu ni hayo tu
Mama samiah ni Abdu jumbe wa zama hizi SEMA zama za Leo Nyerere hayupo wa kumkemea!!
Anatumia provoking tactics Ili kuua muungano hasa pale anapouza au kuingia mikataba tata ya ngorongoro na Bandari salama!!
Ndio maana Kuna kelele hizo nyiingi!!
Baada ya utawala huu na katiba mpya kupatikana naona mamlaka kamili ya Zanzibar yakipatikana kwa tactics hizi zinavyo jionesha dhahiri!!
Ngoja tuzione sarakasi !