Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

Mkuu

Mama samiah ni Abdu jumbe wa zama hizi SEMA zama za Leo Nyerere hayupo wa kumkemea!!

Anatumia provoking tactics Ili kuua muungano hasa pale anapouza au kuingia mikataba tata ya ngorongoro na Bandari salama!!

Ndio maana Kuna kelele hizo nyiingi!!

Baada ya utawala huu na katiba mpya kupatikana naona mamlaka kamili ya Zanzibar yakipatikana kwa tactics hizi zinavyo jionesha dhahiri!!
Ngoja tuzione sarakasi !
 
Kazi ya viongozi wa dini ni kukemea maovu lakini viongozi wa dini wamepewa rushwa hivyo wameamua kuwasaliti watanzania,nawashangaa raia wanaokwenda misikitini na kanisani maana watu wa kuwasemea wamelamba asali ya ccm
 
Mtu hapangiwi muda wa kudai chake.
 
Utasubiri sana, zile mbuzi za tec tulizidhalilisha mchana kweupe, na wakala ubwabwa
 
Sometime huu Uhuru bandia na muungano Fake ni bora uendelee kuwepo kwa maslahi ya nchi na usalama wa raia.

Hiyo Zanzibar bila kuwa chini ya kivuli cha muungano feki, huko kungekuwa chimbuko kubwa la Ugaidi na mambo mengi ya hovyo yasiyovumilika.

Kwa bahati mbaya haya magaidi yangeitumia iyo ardhi kama ngome yao ama lango hapa East Afrika mpaka kuingia Central Afrika,south afrika,

Fitna zote za hao mashekhe wa mchongo na baadhi ya wazanzibar kudai muungano uvunjike ukiwauliza nini sababu ama kipi watakacho utaona majibu yao kwamba[emoji116]

[emoji117]Wanadai wao watapata maendeleo kwa kushirikiana na ndugu zao wa huko Uarabuni.

[emoji117]wanaamini Watapewa misaada mingi toka huko uarabun na kuifanya hiyo ardhi iwe chini ya tawala zinazofuata sheria za uislam.

Nyerere hakuwa Lofa eti aungane na mtu ambaye hatomnufaisha, na mkumbuke nyerere alikuwa kiongozi wa koloni la Wazungu(uingereza), Taifa ambalo liko kinyume na tawala za mwarabu, hivyo isingekuwa rahisi hao wazungu kuacha ardhi ya Zenji ijitawale kwa mamlaka kamili na kumilikiwa ama kuwa kolon la adui yake mwaarabu, hiyo isingewezekana, na hata mwarabu angeitawala Tanganyika asingekubali hiki walichokipinga wazungu.

Suala la Muungano kuvunjika hilo sahauni maana lina mikono mirefu ya wakubwa na wasio wakubwa, hakuna pimbi wa kanisa wala msikiti anaweza vunja huo muungano hata waandamane na kulia adharani, mybe Mkoloni aamue mwenyewe, kwa maamuzi ya upinzan wa wanasiasa na wafuasi wa wavunja muungano, hilo jambo sahauni.

Muungano feki unaboa lkn ndio hivyo tukubali , tu.
 

Na nyinyi muda wote mlikuwamnapenda misaada ya wazungu kwa kudhani waliwaletea ugalatia wenu, mkawa mmejiona mmefika nchi ya kaanani
Tokea zamani waliwataarifu kuhusu usawa wa machoko mkaziba masikio huku mkitembeza bakuli, mpaka walivyomchana live nyerere na tabia yake ya kuombaomba kwa kudhani alikula shubiri na kanisa walivyomwambia akubali mapunga ndio akapata nafasi ya kumwangushia jumba bovu Mwinyi
Na sasa ukatoliki umeshasema upunga ni ruksa, mnatafuta sababu ya Zanzibar kushtukia hii njama ya upunga na kuwa na mpango wa kujitoa ndio mnakuja na viroja vya kanisa.
 
Muhimu la kwanza Tubadili vipengele viwili vya katiba.

1. Itikadi ya serikali.
Badala ya kuwa na serikali isiyo na dini; tuwe na serikali ya dini zote.

Serikali ya dini zote ni ile inayolimda wenye dini. Tofauti na sasa serikali inamilikiwa na dini moja toka uhuru.

Ni juzi tu Samia kawadindia wenye nchi juu ya mkataba wa uwekezaji wa bandari kwa waarabu.

2. Tupiganie mfumo wa utawala wa serikali za majimbo yenye nguvu zaidi au nguvu kamili ya kujiamulia mambo yake wenyewe.
 
Km huna akili katafute ht za kuazima. Jitu zima inapoteza muda kuandika upupu km huu bila ht haya? Bwege kwl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…