sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Hahahahahahah tuendelee kudanganyanaChina ata ufyata tu ni swala la muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahah tuendelee kudanganyanaChina ata ufyata tu ni swala la muda tu.
Watulie, kuimba kupokezana
Katika mambo yote wanayoishutumu China je, kuna hoja yoyote ya msingi?Wanatapatapa tu hao
Wanasema wanatoa onyo kwa ChinaKatika bandiko lako, sijaona popote ambapo G7 "imeamuru".
Umesema vyema wachumi wao ndio waliotufundisha kuwa market force ya demand and supply inaamua bei ya bidhaa sokoniWamesahau kwamba wao ndio walipigia chapuo soko huria?
Wao ndio waasisi wa free market wache nguvu ya soko ndio iamue bei,
SahihiWana wivu sana Hawa wazungu,muda wao wa kutesa umekwisha wakubali TU mabadiliko,Dunia ndivyo ilivyo.
Walitakiwa wajifunze kwa nini China inafaulu kutengeneza bidhaa za high tech kwa gharama ndogo tofauti na waoChina inaua viwanda vyao!
Je, madai yao ni ya kweli au ni uchokozi? Mbona Marekani ana kambi za kijeshi nyingi sana hapo Filipino
Kati ya Marekani na China ni nani hasa anafanya expansionism kwenye Asia-Pacific
Marekani imekuwa ikifinya joint drills na baadhi ya mataifa ya Asia-Pacific na kuleta meli vita na manowari mpaka kwenye mpaka wake wa kimataifa wa China wa baharini
Je, ni nani mchokozi?
Hakuna mahali China imewanyang'anya mataifa ya Asia-Pacific mipaka yaoHaijalishi ubabe wa marekani kuweka base zake duniani lakini CHINA kwenda kuziambia nchi ambazo nazo zina hiyo bahari kuwa hii bahari yote ni yangu ni uwendawazimu
Kwa sasa China ashavuka huo mstari ni unbeatable ndio maana kila mkutano wanamjadili yeye. Wakati mwenzangu na mimi ukiwa mbagara unamchukulia poa, wao wanaogopa kuwa hata viwanda vyao ataviua yani ni center ya mkutano wao.China ata ufyata tu ni swala la muda tu.
Hivi vikao vyao vilishakuwa vikao vya harusi, wao kila wakikuta ni China Urusi tuLeo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Italy na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo.
Ajenda kuu ilikuwa China.
Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China:
1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA MAKAMPUNI YA NCHI ZAO
Mataifa hayo yameilalamikia China kuwa imekuwa ikifanya industrial overcapacity, hivyo soko la dunia limefurika bidhaa za China hasa kwenye sekta ya green technology kama magari ya umeme, green tech kama solar panels na wind turbines na uzalishaji wa chuma.
Bidhaa hizo zimekuwa zikiuzwa kwa bei nafuu sana kuliko bidhaa za aina hiyohiyo za nchi za Magharibi hivyo inahatarisha viwanda vyao kwani vinashindwa kushindana na bidhaa za China kwenye soko la mataifa yao na la dunia.
Nchi hizo zimesema kuwa hawataacha kushirikiana kibiashara na China wakitambua kuwa ni nchi muhimu duniani kwenye global supply chain.
Ila watsendelea kuchukua hatua ili kulinda biashara, wafanyakazi na viwanda vyao dhidi ya bidhaa za China zenye ubora ambazo zinauzwa kwa bei rahisi.
2. KITENDO CHA CHINA KUDHIBITI MADINI MUHIMU
China imekuwa ikidhibiti uuzaji nje (exportation) wa madini ya gallium, germnium na graphite ambayo ni muhimu sana kwenye viwanda vinavyotengeneza vifaa vya umeme na mawasiliano kama smartphone (LED), chips, electronic circuits, transistors, solar cells na kwenye magari ya umeme.
Nchi hizo zimeishutumu China kwa kufanya hivyo kwani inasababisha uhaba wa madini hayo kwa mataifa mengine yanayotengeneza bidhaa zinazoyatumia kama malighafi.
3. KUISAIDIA RUSSIA KATIKA VITA VYA UKRAINE
Nchi za G7 zinaituhumu Beijing kuwa imekuwa ikiisaidia jeshi la Urusi.
Washington imeishutumu Beijing kwa kusaidia Urusi kupitia uzalishaji wa pamoja wa drones na usafirishaji wa zana za mashine zinazohitajika kwenye utengenezaji wa makombora ya ballastic missiles na silaha zingine.
4. UBABE WA CHINA KATIKA SOUTH CHINA SEA NA ASIA-PACIFIC
Nchi za G7 zimesema vitendo vya China kama kuizunguka Taiwan na kufanya mazoezi ya kijeshi vinaweza kupelekea vita na mgogoro mkubwa sana.
Pia vitendo vya China kujenga visiwa bandia katika bahari ya Kusini ya China, militarization, migogoro ya kimipaka na kujitanua katika eneo la Asia-Pacific na vitisho dhidi ya Ufilipino.
Nchi zote (G7) zimekubaliana kwamba zitafikisha ujumbe huo kwa uwazi katika ngazi ya juu kabisa kwa taifa la China.
Je, ni nani anayeipa G7 mamlaka ya kuamuru lililo sawa au lisilo sahihi?
Inashangaza sanaCapitalist miaka yote wanatufundisha tariffs and protectionism ni mbaya ila leo ndio wanaitumia kumbana mchina for their survival, kwisha habari yao
China na Urusi zinawanyima usingizi zimekuwa nightmare kwaoHivi vikao vyao vilishakuwa vikao vya harusi, wao kila wakikuta ni China Urusi tu
Sina hakika kama China kajipa miliki ya SCS yote mgogoro wa SCS unahusisha mistari ya kimipaka hapa ndio mgogoro ulipo.Waache kulialia. Wao walivyoivamia China miaka 150 iliyopita na kuwafanyia unyama wachina walitegemea Wachina wa leo watakubali udhaifu wa kale?
China ina idadi ya watu inayozidi nchi zote hizo combined, wanataka China ifanye nini kuwezesha watu wake waishi maisha mazuri?
China iendelee hivyohivyo kama inavyofanya sasa hivi, isikubali kurudishwa nyuma.
Ila kwenye nukta ya South China sea. China nayo iache ubabe, nchi moja huwezi kujipa miliki ya bahari eti yote yako kisa eti wafalme wako miaka 1000 iliyopita walipeleka ngalawa huko!
yaani komenti hii ndo umeona itawafariji hao G7 au itakufariji wewe???China ata ufyata tu ni swala la muda tu.