Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #81
Hizo ndio taarifa za Marekani na China ni juu yako kuzifanyia anaysis kiuchumiHahaha tafuta taarifa zaidi za madeni ya china, utaelewa tu acha kurukaruka.
Nimekupa data na wewe unaweza kuja na data na uchambuzi wa kiuchumi
But always keep in your mind kwenye uchumi huwa tunasema:
The higher the debt-to-GDP ratio, the less likely the country will pay back its debt and the higher its risk of default, which could cause a financial panic in the domestic and international markets
Simply: This ratio shows how much a country owes (debt) compared to what it produces (GDP)
Ni juu yako kufanya analysis au kuwa shabiki