Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

Katika viongozi wote wa G7 waliohudhuria huo mkutano, sioni ambaye tutamwona tena akiwa raisi wa nchi kwenye mataifa yao wote wanakalia kuti kavu hawana dalili za kushinda ucjshuzi ujao na kuhudhuroa mkutano mwingine tena wa G7 zaidi ya huyo mwanamama wa Italia
Kwa upande wa Macron na Scholz uchaguzi wa bunge la Ulaya umeonyesha vyama vyao vimekosa ushawishi

Biden bado ana wakati mgumu sana Trump inaonekana anakubalika kwenye kura za maoni kwenye majimbo japo kwa gap dogo
 
Waache kulialia. Wao walivyoivamia China miaka 150 iliyopita na kuwafanyia unyama wachina walitegemea Wachina wa leo watakubali udhaifu wa kale?

China ina idadi ya watu inayozidi nchi zote hizo combined, wanataka China ifanye nini kuwezesha watu wake waishi maisha mazuri?

China iendelee hivyohivyo kama inavyofanya sasa hivi, isikubali kurudishwa nyuma.

Ila kwenye nukta ya South China sea. China nayo iache ubabe, nchi moja huwezi kujipa miliki ya bahari eti yote yako kisa eti wafalme wako miaka 1000 iliyopita walipeleka ngalawa huko!
Sahihi
 
Hakuna wa kuwahurumia hao WAKOLONI!
Kulalia, kujifanya watakatifu na nini kumbe MASHETANI WAKUBWA...
KARIBU CHINA...
China ni mkoloni mwingine ni ujinga kujidanganya Kwamba ni rafiki waulize wakenya...🤓🤓🤓
 
Wapuuzi tu hao na mwenzao USA wanaleta habari za free trade isiyo fair wakati wananufaika wao ikiwa ndivyo sivyo wanaleta propaganda siziso na mashiko in short ni hypocrites.... ;

Kama dunia we need a level playing field a fair trade

Umesema vyema
 
yaani komenti hii ndo umeona itawafariji hao G7 au itakufariji wewe???
Mimi sio mfariji wao na hata hawanifahamu na sidhani kama hao G7 wamesoma comment yangu, na maamuzi yao hayanisaidii kabisa, hivyo usijipe stress kabisa hapa tunatoa mawazo yetu tu.
 
Kwa sasa China ashavuka huo mstari ni unbeatable ndio maana kila mkutano wanamjadili yeye. Wakati mwenzangu na mimi ukiwa mbagara unamchukulia poa, wao wanaogopa kuwa hata viwanda vyao ataviua yani ni center ya mkutano wao.
Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.
 
China ataufyata kwenye kipengele kipi mkuu?
China kakopa sana kujenga china, anadaiwa sana kuliko mnavyodhani. Na viwanda vingi China siyo mali ya china, mahusiano aliyo sign WTO ndiyo yalifanya aonekane hivyo alivyo leo, sasa anataka kujitia uchizi, na atakuwa chizi kweli.
 
Tatizo la mtu mweusi mfia dini hajui hawa wazungu ndio mpaka leo wanaifinya africa isifurukute
Lakini wakiona wazungu wanazibana Iran, Afghanistan au Syria wanashangilia hawajui hii ni kwa usalama wao, wao wanataka waanzishe vita nchi za kiarabu huku wanataka nchini kwao waishe kwa amani na mustarehe
Hawa wazungu wao ni wanaangalia maslahi yao, wameifilisi Venezuela kwa kuwa ilifukuza makampuni yao ya mafuta.
China na Russia ndio imekuwa ajenda yao sababu China ana uchumi mkubwa na Russia ana gesi na mafuta ya kusambaza ulaya nzima.
Na walivyokuwa wanafiki, wanaiwekea vikwazo gesi ya Russia, lakini wanazunguka na kwenda kuinunua kwa mnunuaji wa pili au watatu kwenye soko la kimataifa.
Tuliona ngano yote ya Ukraine waliipeleka Ulaya mpaka Russia akavunja na makubaliano, huku wakiisema Russia atasababisha baa la njaa afrika kwa kuzuia ngano ya Ukraine.
 
Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.
Kwa hiyo west walianzisha viwanda china mfano cha BYD, Xiomi, TCL, ili vikazalishe bidhaa ambazo zinauzwa bei rahisi halafu wao wenyewe wao waliozianzisha waziogope.
Viwanda vinavyotishia viwanda vya west wala wamiliki wake sio western investors vingi viko backed na serikali yenyewe ya China.
Mfano, Xiomi, BYD na kampuni nyingine ndogo ndogo zaidi ya 200 za kutengeneza EVs zinauza yale magari chini ya faida halafu serikali inatop up. Mfano kwa kila gari moja XIOMI inaloliuza inakuwa na hasara ya dola 10,000 ambayo inakuja kufidiwa na serikali ya china.
Hivyo viwanda vilivyohamishiwa china na west wka ajili ya production huwezi kuvisikia vikiwa part of this saga. Unasema hana teknolojia? Wewe Huawei kalimwa sanctions na US wakitegemea apate walau break through 2028 lakini ndani ya miaka mitatu katengeneza kitu ambacho kiliishngaza dunia.
Unasema china ana madeni? Unasahau kuwa US ndio inaongoza kwa kuwa na deni kubwa.
Migogoro? USA karibu ana migogoro na nchi kibao na sasa anazidi naye kupata shida ona hata Saudi kakataa kurudisha mkata wake wa kuuza mafuta kwa dollar. Unajua hili lina maana gani kwa uchumi wa USA? Na unajua USD kuwa pesa ya manunuzi kumeisaidia nini USA kwa miaka yote? Maana yake ni kwamba USA ilikuwa inaprint pesa nyingi tu hata kulipa madeni yake pasipo kusababisha inflation wakati nchi nyingine haziwezi. Itachukua miaka lakini safari ndio imeanza.
Narudia tena, west wanajua tishio la china ni mtanzania tu ambaye yuko mbagara anayepingana na ukweli. Ndiyo maana topic kubwa was china china china. Na kumbuka numbers don't lie, yote haya yako backed na statistics tena sio stastics tu za kwao wenyewe we tazama stastics za mauzo, na uwekezaji anaofanya china kwenye outlets za kiuchumi ndio utajua kuwa ukimwondoa USA china yuko mgongoni mwake.
Swali la kujiuliza na ambalo wao linawatisha ni kwamba, kama haka ka nchi just mwaka 1990 kalikuwa huko kamepitwa na nchi nyingi za ulaya, leo kanamfukuzia USA nini kinaenda kutokea after another 20 years? Ndio maana unaona wanahangaika kafunga speed governor.
 
Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.
Acha nyeto.
 
Weee acha uongo.
China ana madeni madogo kuliko USA ,usisahau China kanunua treasury bill ya more than $3 trillions kwa USA.
China asilimia 70 ya viwanda vya nchi yake ni vya ndani na vina ubiya na serikali.
Kufika mwaka 1990s China yenyewe serikali yake ilishajenga viwanda takriban 45,000 na vyote vya kichina na vinalelewa na serikali ya China.
Viwanda vya wawekezaji havifiki hata 30 percent ya viwanda vinavyomilikiwa na China wenyewe.
Kwenye hili mzee umetudanganya,China inaonekana kuwa na Bank imara ambayo inaweza kulipa madeni na kumaliza kama ikitaka,maana WB na IMF walitoa ripoti 2020 kuwa benki kuu ya China imekopesha robo tatu ya dunia na imesamehe mataifa 38 madeni.
Yani benki ya nchi moja imekopesha usawia wa WB na IMF.
Kitu ambacho kama USA angejaribu kufanya angeshaanguka.
Uchumi wa China ni state based economy.
Kama ingekua rahisi si wazungu wangeondoa viwanda vyao ili waue uchumi wa China!?
 
Labda huelewi, viwanda vilivyoko china vingi ni vya kutoka nchi zilizoendelea siyo mali ya CHINA. Waliposema hata viwanda vyao ataviua ni kwa misimamo yake China siyo kwamba anatechnologia au viwanda vingi hapana, wanaongelea akiendelea ku behave hivyo, mahusiano yakifa maana yake watalazimika kuondoa makampuni na viwanda vyao CHINA. Usidhani China ni taifa imara sana , madeni aliyo nayo migogora ikianza hayalipiki, labda kama anataka kujilipua asilipe madeni, lakini ataumia sana.

Sasa kama viwanda vilivyoko China vingi ni vyao wanalialia nini sasa. Si wapunguze hivyo viwanda au wapunguze uzalishaji?

Ukweli ni kuwa China ana viwanda vyake mwenyewe vingi tu, vinazalisha vya kutosha na hicho hawataki!
 
Kanishangaza huyu jamaa.
Mwaka 1992 China inatoa ripoti kulishajengwa 45k industries ambazo zote zina government subsidies.
Wakati huo sidhani kama kuna mzungu aliwekeza hapo China.
 
Back
Top Bottom